Uchaguzi 2020 Pinga pinga wa ndege, Zitto Kabwe aumbuliwa na ndugu zake

Zito kupanda hizo ndege sio justification ya uwekezaji kwenye hii biashara kichaa ya ndege.kama msingekuwa washamba mngeonesha pia kabla ya hizo ndege Zito alikuwa anaendaje kigoma
 
..huyo aliyeshika bango yeye amewahi kupanda ndege?

..kwenye ndege ccm mnalazimisha tu, lakini hazina faida kwa mwananchi wa kawaida.
Kwa hiyo mwananchi wa kawaida kupata faida ya ndege za umma ni mpaka azipande?

Je zinapoingiza mapato kwa taifa na zikajengwa hospital hanufaiki? Hivi Mbowe anafuga watu gani! Mbona wakati wa Slaa kulikuwa hamna watu kama wa namna hii
Cc tindo
 


Mpumbavu ni wewe usiyejua nini kinaongelewa na wapinzani.

Sasa fungua kichwa chako uelewe, wapinzani wanahoji ni njia gani hizo ndege zilivyonunuliwa!!!--- kama ilipaswa tuwe na ndege je iimenunuliwa kufuatana na open public procurement ??!!, hata CAG haruhusiwi kukagua kama ndege hizo zinaingiza faida au laaa, kwanini CAG asiruhusiwe kukagua mali hiyo ya UMMA??? au hizo ndege zimekuwa ni mali ya Magufuli???.--- manunuzi ya hizo ndege na miradi mingine mingi ya awamu hii imejaa harufu ya UFISADI na ndiyo maana huyo muheshiwa ni mkali mno katika mambo yake, ukali wote huo ni kutaka watu wamuogope ili wasihoji uchafu wake. Wajinga kama nyie bendera fuata upepo mtajua nini???!!
 
Apana ndugu, wamebeza ununuzi wa cash, wakitaka serekali ikope na kutoa riba, ili tupate hasara kubwa.

Pia walibeza kuwa watu hawataweza kuzipanda


Watu wengi (Watz) hawawezi kuzipanda katika kuleta faida ya kibiashara, ilitakiwa zifanye routes nyingi za nje ndipo fedha ya kuzinunua itarudi vinginevyo ni SHOW DOWN tu kwamba Tz na sisi tunazo ndege kams Rwanda.🤣🤣
 
Hivi watu wa Kigoma waneprint wapi iyo picha???? Kuna kampuni kigoma nzima ya kuprint picha ya namna iyo????? Kweli CCM mnaweweseka sana na propaganda zenu uchwara hizo !!

Hizo picha wanesafiri nazo kina polepole alafu wamefika kigoma wakachukua vijana na kuwapa huku wakiwalipa hela ili wanyanyue kwenye mkutano wa Magufuli alafu mna sema Eti wana kigoma wamjibu zitto!!!

CCM ni wapuuzi sana 😂
 
Pia Magufuli hana ndege hapa Tanzania, ndege zoote zimenunuliwa na pesa za walipa kodi watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app


Yeye si anajiona kwamba ela ya kununulia hizo ndege zimetoka mfukoni mwake na ndiyo maana zipo chini ya Ikulu na CAG haruhusiwi kwenda kukagua hesabu zake.

Hizo "figurativelly" ni ndege za Magufuli kwani hata manunuzi yake yamejaa USIRI MKUBWA MNO japo pesa iliyonunulia ni ya UMMA.
 
Kuna siku itafika hata mawe yatahoji matumizi ya fedha za watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe mnamuogopa Mwami Zitto kiasi hiki?mwajitekenya na kucheka wenyewe.
 


Nyie mmenunua ndege kushindana na Rwanda, lakini hamkuangalia economic point.

Haraka sana tunatakaa CAG akakague faida na hasara za biashara ya hizo ndege ili sisi wananchi tujue ela yetu imepotea au laa.
 


Uumeelewa nilichoandika au ndiyo Elimu za Watz zilivyokuwa ndogo!!!??

Usihofu, Rais Lissu atafumua mfumo mzima wa elimu nchini ili kuwakomboa watu kama wewe.
 
Nani alisema ni hasara kisa riba? Kwanza Leasing ina faida kwenye long run kuliko uweke cash yote mpka ije kubreak even sio leo wala kesho.

Kama kukopa ni hasara mbona SGR mmekopa ili mjenge? Au ni hasara pale tu inaposhauriwa na upinzani?

Hawakusoma Uchumi hao, wamesomea Chemistry,----- Economy na mihemuko ya Chemistry wapi na wapi!!?? 🤣🤣
 
Jibu hapa, ni lini zitto alisema hatopanda ndege za Magu???-- kama huna jibu kaa kimya.
Alisena ndege ni screpa. Sasa anapanda screpa haogopi kuhatarisha usalama wake?
 
Alisena ndege ni screpa. Sasa anapanda screpa haogopi kuhatarisha usalama wake?


Kusema ndege ni skrepa (kama alisema) ndiyo kusema; hatopanda ndege???.

Mimi, mfano nikisema: Hiii gari mbovu, je maana yake nimesema sitaipanda hiyo gari???!!.

Leteni hoja zenye mashiko hapa sio hoja za kitoto.
 
Walisema tunazidiwa hadi na rwanda inamiliki ndege, wamegeuka tena hawa jamaa hawajui wanachokitaka.
ndege sio kwamba ni mbaya, ila sio kipaumbele kwa sasa. kwa mfano wewe upo kwenye harakati zako za kumalizia kujenga nyumba yako ila kinachokukwamisha ni ukata wa hela. mara paap kwenye pitapita zako umeokota burunguti la hela, kuzihesabu ni milioni 3 na ukiangalia hiyo hela inatosha kumalizia nyumba yako. je utaenda dukani kununua iphone kisa demu mwenzio anayo ya macho matatu au utaenda kumalizia nyumba yako?
 


Utadhani wanafikiri kwa kutumia miguu na sio vichwa.
 
😂
Limekuuma Neno la Ninyi ni malofa na wapumbavu?

Nasisitizia hapohapo, Ninyi ni malofa na wapumbavu, kwahiyo hizo kelele za Kwa nini nchi inanunua ndege huku raia wakiwa na njaa unazikataa leo, hivi na wewe mzigo?

Kwa hiyo leo siyo hoja tena? Jinga kabisa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…