Shida yenu ni moja tu, na hata hivyo siwashangai ninyi vijana wa Chadema, maana kawaida yenu ni kutaka kitu msichokijua
2015, Viongozi wenu walikuwa na nyimbo zao nzuri Sana bungeni, lakini leo mnaziruka tena,
Ni kina Nani waliokuwa wanasema, wanataka kiongozi mwenye udicteta?
Ni kinanani walisema, Wanataka Raisi asiyesafirisafiri kwenda nje?
Ni kina Nani walisema, Tunataka Raisi mkali asiyechekacheka?
Yote hayo mmejifanya hamyakumbuki, kana kwamba hamkusema ninyi
Kina Nani waliokuwa wanadharau nchi Kwa kukosa ndege hata moja? Eti nchi inazidiwa na Rwanda, Ka nchi kadoogo kanatuzidi?
Leo mnakataa tena? Waghosha!!
Ninyi ni malofa na wapumbavu, huwa HAMJUI mnataka nini,
Chama chenu ni cha hovyo Sana na watu wenu wote ni walaghai na makanjanja