Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #81
Tumefanywa baraka ya kipekee, vituko ambavyo nimeshaviona mbela ya kitumbua, nikisimulia humu watu watasema chai 😂 😂Mkuu umeua hongera sana, hapo sawa.
Kusema 'kanda ya ziwa' nd'o kulinichanganya mwenziyo.
Kama ni hivyo basi hudanganyi, nadhani unenielewa
Kile kitu hakiwezi kufutika kamwe akilini mwangu, hisia zimegoma hata nikijitahidi kuzivuta wanaume wote nawaona wahaini😹😹Ila MO29 kweli ilikujeruhi, sasa tufanyaje urudi kua sawa, hata ukimuona mkaka mzuri kama yule mjeda atleast kitumbua kishtuke kidogo.
Wazee tena? 😹Kama ni mbogamboga anastahili kibuti 🚮, ila ukijipatia limzee kama @ERoni linajitambua na liko romantic, nahisi utakaa sawa tu!
Mkuu mimi sina konakona niko nje ya mudaMkuu usitumie mbinu za ukali 'kupiga kibuti' mtu, tumia siasa.
Mi shapigwa kibuti cha kisomi hadi nikakodi gari la kumbebea mizigo mtu kwa gharama zangu, kumbe nd'o nabwagwa!
Eti wahaini 🤣 🤣 🤣Kile kitu hakiwezi kufutika kamwe akilini mwangu, hisia zimegoma hata nikijitahidi kuzivuta wanaume wote nawaona waahini 😹😹
Hapana huyu kijana wa zamani, hajazeeka bado 😹Wazee tena? 😹
Ana ka-mke kadogo humu kanaitwa Atoto huwa napenda tu kukachangamsha, kakute mzee wake katajwa kajisikie wivu.Halafu kwann umenikomalia na mfano wako wa Eroni??
Huyu nitamchosha, hawachelewagi kuteguka migongo hawa.Huyo anakufaa wewe mpe nafasi mtushangaze waungwana 😹😹😹
Wa kule chemba anakumezea mate na ukiingia kwenye 18 zake UMEKWISHAAAA 😹😹😹Huyu nitamchosha sana, hawachelewagi kuteguka migongo hawa.
Mi acha niendelee kumzoom yule wa kule chemba 😂
Najua, na yule nitapigwa mpaka nikimbie na kyupi mkononi 😹.Wa kule chemba anakumezea mate na ukiingia kwenye 18 zake UMEKWISHAAAA 😹😹😹
Atakupiga rungu km la kipepe
Pale ujiandae kupigishwa misamba km mama Shea 😹😹😹Najua, na yule nitapigwa mpaka nikimbie na kyupi mkononi 😹.
Kama namsikia anajiambia “nitamuonyesha mambo, bado hajayaona 🎶😅🤣”Pale ujiandae kupigishwa misamba km mama Shea 😹😹😹
Safi sana, ukija kushtuka umeachwa, unakua kama huamini amini hivi 😅Mi shapigwa kibuti cha kisomi hadi nikakodi gari la kumbebea mizigo mtu kwa gharama zangu, kumbe nd'o nabwagwa!
Na wewe muendee na ya da halimaKama namsikia anajiambia “nitamuonyesha mambo, bado hajayaona 🎶😅🤣”
Usiku mnene huu, nitaamsha watu jamani 🤣🤣🤣 nimecheka kwa sauti mpaka siyo poa 🤣🤣🤣🤣 Daaah!Na wewe muendee na ya da halima
🎵Bonyeza kendre, libusu kendre, piga teke kendre🎵 😹😹😹
😹😹😹 Ukute sasa anayo makubwa km ya sokwe unayabinya mpaka atoke machozi..!!Usiku mnene huu, nitaamsha watu jamani 🤣🤣🤣 nimecheka kwa sauti mpaka siyo poa 🤣🤣🤣🤣 Daaah!
Makubwa kama ya sokwe we uliyaonea wapi 🤣🤣🤣😹😹😹 Ukute sasa anayo makubwa km ya sokwe unayabinya mpaka atoke machozi..!!
Kuna member humu ana avatar ya sokwe makendree 😹😹Makubwa kama ya sokwe we uliyaonea wapi 🤣🤣🤣
View attachment 3518852
makaveli10 hebu njoo utoe maelezo 😅
Ni nani huyo 🤣🤣🤣Kuna member humu ana avatar ya sokwe makendree 😹😹
Halafu id yake ni platinum tuna vizee vya hovyo sana humu..!!
Username yake nimeisahau. Halafu nikimuuliza ananjibu kiutani hata hajali..!! 😹😹Ni nani huyo 🤣🤣🤣
Labda anapenda kuangalia mbupu 😅Username yake nimeisahau. Halafu nikimuuliza ananjibu kiutani hata hajali..!! 😹😹
Eehh!! Kwahiyo mahi huwa unayalamba makengele?? 😹😹Labda anapenda kuangalia mbupu 😅
Ila hizo dude zao ukizichezea vizuri 👅✋, hua wanapumua kama wanakata roho 🤣
Sura yako itakavyokua nikikujibu 😂😅Eehh!! Kwahiyo mahi huwa unayalamba makengele?? 😹😹
Muunde tu kikundi cha kupika na Mwachiluwi1. Bagia, nikipatwa na hamu ya hiki kitu siwezi tulia hadi nipate na nile, ntafanya vyovyote lazima nipike.
Uzuri ingredients huwa nakua nazo ndani, kuna siku niliandaa na kupika SAA 9 usiku.
😂😂😂😂😂
2. Sijalala, nachati na Ba tamu, huku naperuzika chimbo nasoma mikasa ya vidampa, mie hoi.
😂😂😂😂😂