Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

Mwamba ni bonge la kiazi
 
Huyu kweli analalamika kuwa mume hampi matunzo na mume Ni mwajiriwa ,na ananingangania sana ,nilimuahidi kumpa mtaji wa biashara nataka nimpe nitemane nae ,kiukweli amebarikiwa mzingo
Hata ivo hio ni chakula ya msela
 
Kawaacha waendelee kulana kimasihara......boda atamkimbia maana alizoea vya bure.
 
Kweli wanawake ni wengi why dating mke wa mtu?
Ila pia siwezi kujiua kwa kuchapiwa mke, hapo jamaa angemtafuta boda kimya kimya amlipizie
 
Nilinusurika kumbandua mmoja ila nilimshitukia alitaka kufanya ngono na mimi ili ku-balance equation na mumewe. Yaani mumewe alitembea na demu mwingine, mke ikamuuma, akataka alipize kisasi kama kupitia mimi kwa sababu tulikuwa na ukaribu wote watatu.

Kwa kweli tulikubaliana vizuri na kama penzi lilikuwa limenoga hivi, ila kabla ya kufanya hapo.
Nilichoshituka kuna siku alinipigia simu usiku kama saa 6 hivi, akawa anaongea kwa mahaba. Anauliza hivi unanipenda kweli? nikamjibu nakupenda.

Baada ya kumaliza kuongea simu haikukatwa kwa bahati mbaya. Nikamsikia jamaa ake anamuuliza, kwa hiyo na wewe umeamua kumpigia basha wako sio?
Demu akajibu dawa ya moto ni moto na vitu vingine vingi.

Siku ya 2 nikamwambia kabla na baada ya kufanya mapenzi, naomba asijue binadamu yeyote yule, anaweza?
akasema hilo halina tatizo yeye mwenyewe anapenda siri. Ila anataka tukifanya tu, kuna fala mmoja tu inabidi ajue.
nikamuuliza ni nani? akamtaja mume wake kwa jina.

Nikajisemea moyoni kumbe watu huwa wanakufa kimasihara ee!
 
Tukiwaambia vijana hizi mbususj ni kuzitomber na kutupa kule wanatuona wahuni....ukioa wee kaa ukijua kuchapiwa kupo pale pale.
 
Hii imekaa ki saikolojia fikiria ndo ww
Kuanzia Leo unatakiwa ujue kuwa umeoa ili kujenga familia , kuchapiwa mke hyo ni lazima , hasa kama mke wako ana mvuto flani lazima watam_tomba tuu...!! Ukisimamia msimamo tofaut na hapo jiandae kujinyonga tuu , interaction ni kubwa mno sa hv na ndo sababu ya yote haya
 
Mkuu unaongea tu juu ni hujui frustration yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…