Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

Kwema Wakuu!

Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa.

Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside au mwanamboka alafu ukaita Pisikali. Hiyo ni kuonyesha kichwa yako mtandao hausomi vizuri. Au unatumia vilevi.

Pisikali zina sifa zake. Mtoto mmoja matata. Sio tuu kwa nje bali hata kwa ndani.

Pisikali inatakiwa isijue Wanaume zaidi ya watatu.
Sasa mwanamke Kalala na wanaume kumi alafu kwa ushamba wako unaita Pisikali. Hivi siku ukikutana na Pisikali utasema niñi?

Ndio maana wengi wanauliza mbona wanawake wanaoonekana wazuri hawaolewi. Ni kwa sababu yaliyomo hayamo.
Mtu anaona kwa nje ni Pisikali anaingia ndani anakutana na kazi mbovu.

Wewe kitu kimechoka unaita kikali. Acha pombe na mibangi.

Acha nipumzike
Basi Dar nzima Haina pisikali labda huko masaki na Mbezi beach ambako Sina uzoefu nako
 
unachozungumzia ni sawa na kutafuta msichana bikra saa hii 🐒

hakuna cha nini wala nini, kama hiyo pisi haijui wanaume wa3, basi Lazima inajua aina kadhaa ya midoli ya kujisukutulia mbususu na imejaa magetoni pake🐒

but all in all mbususu zimechakaa ndrugu zango, mpaka unajiuliza nini hiki na pisi imesumbua namna hii 🐒

R I P Laigwanani comrade ENL
😂😂😂😂 Madame B kuna mtu anasimanga zana za kazi.!!
 
Yaani upate mdada(pisikali) imetembea na ME watatu(3) tu? Atakuwa na umri gani? Huyo kwa zama hizi ni bikra...
 
Na pisi kali ni lazima awe mweusi wa kung'aa [emoji23]
Mwanamke akila vizuri na kuoga kwa kituo lazima awe na huo weusi wa kung'aa tu .

Sio unakuta anaoga na sabuni ya magadi na kula makande huo weusi wa kung'aa atauona kwa nyoka tu.

Cha muhimu ukipenda pisi wewe itunze tu ,ukiona vya elea ujue vimeundwa.
 
mi bikra 😂😂😂sijui ndo tuko disqualified au over qualified
Mpaka nithibitishe ndio nitabadili kauli...ni kama unaniambia umeokota almasi kariakoo.lazima ni kipande cha chupa.
 
Back
Top Bottom