Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naendelea vizuri baba, mama anaendeleaje na wadogo zangu hapo nyumbani.??😍😍marahaba binti yangu...
hali yako vipi
Rekebisha kauli yako sio dar nzima sema baadhiBasi Dar nzima Haina pisikali labda huko masaki na Mbezi beach ambako Sina uzoefu nako
Nishawai kua na girlfriend akiwa anamaliza third year na Virgin.Wapo wadada ni wakubwa kiumri na wengine Watu wazima na hawajafikisha hiyo idadi ya wanaume watatu.
Tatizo kizazi cha sasa kimeoza. Binti wa miaka 13 keshaingia kwenye Ringi anacheza michezo ya kikubwa. Lakini hiyo haimaanishi kuwa hakuna wanaojitunza
Ndo maana nmesema labda ushuani kabisa huko ambako Sina experience nako na huku tabata, Temeke, kigamboni and the likes hunidanganyi kituRekebisha kauli yako sio dar nzima sema baadhi
Hakuna Kabisa Dadkwa nini binti yangu
natumae hamna shida lakini
Hamna kitu, means hamna Nn????Ila kwa kweli ni moja ya vitu vinakatisha tamaa sana wanaume yaani watoto wa mjini wanasema " vinakata stimu" unakutana na manzi mzuri hatari nenda naye kwenye malovee yaani unapania kabisa kwamba leo naenda kumnyandua ki ukali aaaagh unakutana na hmna kitu yaaan!!!!
Wa3 mchezo nini! 😂
"Pisi kali ni aina ya mwanamke mzuri anayegongeka" NIMEMALIZA
Hii imeendraaaa
Niache bwana! 🤣😃😃
Mkuu wewe umekidhi vigezo vya upisikali?
Badili jina la kuwaita hao,, lakini pisi kali nitasimamia hapo hapo kuwa ni mwanamke mzuri anayegongeka vizuri tu.Kama kichwa kimewaka na pombe au Mibangi upo sahihi.
Ni sawa useme Gari kali ilhali limetumika miaka nenda rudi na Watu tofauti. Kichwa lazima kitakuwa hakiko sawa
Badili jina la kuwaita hao,, lakini pisi kali nitasimamia hapo hapo kuwa ni mwanamke mzuri anayegongeka vizuri tu.
Umri wako una sadifu unayo sema"Pisi kali ni aina ya mwanamke mzuri anayegongeka" NIMEMALIZA
Ukweli mchungu naona umekuuma mpaka unaanza kuingiza maswala ya umri,, anyway wewe kama sikosei utakuwa ni mdogo wangu wa tatu au wanne 😅🥰Umri wako una sadifu unayo sema