Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

Ukweli mchungu naona umekuuma mpaka unaanza kuingiza maswala ya umri,, anyway wewe kama sikosei utakuwa ni mdogo wangu wa tatu au wanne 😅🥰
Mkuu wewe ni mgeni humu acha kuchukulia mambo serious chukuwa hiyo itakusaidia
 
unachozungumzia ni sawa na kutafuta msichana bikra saa hii 🐒

hakuna cha nini wala nini, kama hiyo pisi haijui wanaume wa3, basi Lazima inajua aina kadhaa ya midoli ya kujisukutulia mbususu na imejaa magetoni pake🐒

but all in all mbususu zimechakaa ndrugu zango, mpaka unajiuliza nini hiki na pisi imesumbua namna hii 🐒

R I P Laigwanani comrade ENL
Hata gari ikitembelewa sana lazma ichoke ikongoloke
 
Mkuu wewe ni mgeni humu acha kuchukulia mambo serious chukuwa hiyo itakusaidia
😅😅 inaonekana huna experience ya aina yoyote humu mrembo, and seems wewe ndo itakuwa mara yako ya kwanza kujiunga jf.

Humu watu ni joined since jf inaanzishwa,, sasa usipende kumuita mtu mgeni kwa kuona tu ni joined today au yesterday ukazani ni mgeni humu utachemka 🥰

Kingine dada mgeni humu unaruhisiwa kuwa na ID zaidi ya 10, kwahiyo hata wewe ukiamua kuachana na hiyo ID na ku create nyingine ruksa kabisa!!!!!!!
 
Sawa
 
Kwema Wakuu!

Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa.

Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside au mwanamboka alafu ukaita Pisikali. Hiyo ni kuonyesha kichwa yako mtandao hausomi vizuri. Au unatumia vilevi.

Pisikali zina sifa zake. Mtoto mmoja matata. Sio tuu kwa nje bali hata kwa ndani.

Pisikali inatakiwa isijue Wanaume zaidi ya watatu.
Sasa mwanamke Kalala na wanaume kumi alafu kwa ushamba wako unaita Pisikali. Hivi siku ukikutana na Pisikali utasema niñi?

Ndio maana wengi wanauliza mbona wanawake wanaoonekana wazuri hawaolewi. Ni kwa sababu yaliyomo hayamo.
Mtu anaona kwa nje ni Pisikali anaingia ndani anakutana na kazi mbovu.

Wewe kitu kimechoka unaita kikali. Acha pombe na mibangi.

Acha nipumzike
Una dalali?
 
Back
Top Bottom