Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
πππau sioSawa pisikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππau sioSawa pisikali.
apo kwenye kuona weusi kwa nyoka dah πMwanamke akila vizuri na kuoga kwa kituo lazima awe na huo weusi wa kung'aa tu .
Sio unakuta anaoga na sabuni ya magadi na kula makande huo weusi wa kung'aa atauona kwa nyoka tu.
Cha muhimu ukipenda pisi wewe itunze tu ,ukiona vya elea ujue vimeundwa.
Duh aisee, kwahiyo wa kina mwajabu si pisi kali kisa wanarambo?Kwema Wakuu!
Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa.
Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside au mwanamboka alafu ukaita Pisikali. Hiyo ni kuonyesha kichwa yako mtandao hausomi vizuri. Au unatumia vilevi.
Pisikali zina sifa zake. Mtoto mmoja matata. Sio tuu kwa nje bali hata kwa ndani.
Pisikali inatakiwa isijue Wanaume zaidi ya watatu.
Sasa mwanamke Kalala na wanaume kumi alafu kwa ushamba wako unaita Pisikali. Hivi siku ukikutana na Pisikali utasema niΓ±i?
Ndio maana wengi wanauliza mbona wanawake wanaoonekana wazuri hawaolewi. Ni kwa sababu yaliyomo hayamo.
Mtu anaona kwa nje ni Pisikali anaingia ndani anakutana na kazi mbovu.
Wewe kitu kimechoka unaita kikali. Acha pombe na mibangi.
Acha nipumzike
πapo kwenye kuona weusi kwa nyoka dah π
Kwa kipimo hicho basi pisikali itakuwa watoto wa kike wadogo tu.
Maana kwa dunia ya leo baina ya binti kuvunja ungo na kuja kuolewa anakuwa keshapitiwa na kila aina ya dhakari achilia mbali matunda kama matango na karoti na michi ya kutwangia kiasi kwamba kama nyuchi zao zingeweza kuzungumza zingekuwa zinahoji kama ni uchi wa mashine ya kutest uume au kitengeneza salad.
Duh aisee, kwahiyo wa kina mwajabu si pisi kali kisa wanarambo?
Unazungumzia izi Pisi zinazobandika kucha, kutoboa pua na kuvuta shisha kama Gari Moshi huku zikijirekodi??
Izo wanaume tunaojielewa tumeachia malimbukeni wa Mapenzi.!!
njoo No FapMapenzi yameanza kukupoteza kijana angalia utaangamia kwa kukosa maarifa
Wana gubu wanaume wa humu πππNimeamua nicheke tu.
Kwahiyo sie wenye saccos sio pisikali?
Sana mdogo wanguWana gubu wanaume wa humu πππ
hujambo LamomyWana gubu wanaume wa humu πππ