Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

Basi Dar nzima Haina pisikali labda huko masaki na Mbezi beach ambako Sina uzoefu nako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Madame B kuna mtu anasimanga zana za kazi.!!
 
Yaani upate mdada(pisikali) imetembea na ME watatu(3) tu? Atakuwa na umri gani? Huyo kwa zama hizi ni bikra...
 
Na pisi kali ni lazima awe mweusi wa kung'aa [emoji23]
Mwanamke akila vizuri na kuoga kwa kituo lazima awe na huo weusi wa kung'aa tu .

Sio unakuta anaoga na sabuni ya magadi na kula makande huo weusi wa kung'aa atauona kwa nyoka tu.

Cha muhimu ukipenda pisi wewe itunze tu ,ukiona vya elea ujue vimeundwa.
 
mi bikra πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sijui ndo tuko disqualified au over qualified
Mpaka nithibitishe ndio nitabadili kauli...ni kama unaniambia umeokota almasi kariakoo.lazima ni kipande cha chupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…