Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

Ukweli mchungu naona umekuuma mpaka unaanza kuingiza maswala ya umri,, anyway wewe kama sikosei utakuwa ni mdogo wangu wa tatu au wanne πŸ˜…πŸ₯°
Mkuu wewe ni mgeni humu acha kuchukulia mambo serious chukuwa hiyo itakusaidia
 
Hata gari ikitembelewa sana lazma ichoke ikongoloke
 
Mkuu wewe ni mgeni humu acha kuchukulia mambo serious chukuwa hiyo itakusaidia
πŸ˜…πŸ˜… inaonekana huna experience ya aina yoyote humu mrembo, and seems wewe ndo itakuwa mara yako ya kwanza kujiunga jf.

Humu watu ni joined since jf inaanzishwa,, sasa usipende kumuita mtu mgeni kwa kuona tu ni joined today au yesterday ukazani ni mgeni humu utachemka πŸ₯°

Kingine dada mgeni humu unaruhisiwa kuwa na ID zaidi ya 10, kwahiyo hata wewe ukiamua kuachana na hiyo ID na ku create nyingine ruksa kabisa!!!!!!!
 
Sawa
 
Una dalali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…