Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

Itafika siku jina la Magufuli litakuwepo kwenye somo la historia na hapo ndio tutajua yule ni nabii
Hata sasa watu wataendela kumpiga vita, lakini hakutakuja kuwapo kwa rais wa maisha ya wengi kama yule.
Na ni suala la muda tu, kila mtu kwa wakti wake atajionea tofauti.

Bila shaka sasa hivi maisha ni rais sana, burudaan kabisa sio? 😂
Nchi iko chini ya wapigaji, pesa ziko kwa watu zaidi kuliko serikalini...ndio haya ya tozo tozo na bado.
 
😂😂 wakristo huwa mnanichekesha, yaani nyie kwenu kila mtu akifanya upuuzi wa aina yoyote hamkawii kumuamini na kumuita Nabii, hipo siku hata Mandonga mtamuita nabii, Aisee mtaibiwa sanaa, Bora kutokuwa na dini tu
Kwanini umewasemea wakristo? Au kwa elimu yako unadhani Nabii ni lazima awe mkristo?
 
"Msidhani kua mnapendwa sana -In Magufuli voice"
Nakumbuka Hii kauli ya Magufuli aliisema akiwa chato kuonya kuhusu corona virus vaccine

Leo hii wazungu wanakiri wenyewe ni very risky

RIP JPM,RIP Mwamba
Wabongo bhana... yaani mnaokoteza tu tweets from Anonymous Members na hiyo kwenu ndo inakuwa stori?!

Tatizo lenu mnadhani kila kinachokuwa posted online basi ni taarifa sahihi bila kujishughulisha kujua credibility ya source mnazotumia!!

Matokeo yake, source uliyoweka, ya mtu anayejiita Spartacus, anataka kuwaaminisha watu aina yako kwamba Trump alikuwa anazungumzia mRNA ya Bill Gate, chanjo ya COVID-19!

Lau kama ungetumia hata dakika 2 kutafuta original source ambayo ni MNBC, ungekuta screenshot aliyoambatanisha Spartacus, original clip ni hapa chini:-


Hapo utaona the original video ilikuwa uploaded YouTube on May 18, 2018 hata kabla ya hayo mambo ya COVID-19! Na ukisikiliza, utaona Bill Gate aliongea ama December 2016 or early 2017.

Basically, Bill Gate alikuwa anaongea na Wafanyakazi wa Bill & Melinda Gates Foundation, na mmoja wao alitaka kujua alimfahamu vipi Donald Trump kwa sababu, by the time, Trump ilikuwa ndo kwanza kachaguliwa kuwa rais!!

Gate alipokutana na Trump kwa mara ya kwanza mara ya kwanza ndani ya Trump Tower na mara ya pili alimtembelea White House. Mara zote hizo Trump alitaka kufahamu ikiwa chanjo ina madhara, na chanjo waliyokuwa wanaizungumzia hapo ni HIV Vaccines, na kwa maneno yake, Gate anasema---

Btw, hivi ulijaribu kutafuta na taarifa za Dr. Peter McCullough ambae clip yake imepachikwa baada ya maelezo ya Gate?!
 
Kwanini unaniita BAWACHA? Huo ndiyo mwisho wa akili yako? Come with objective argument or shut up kama huna point
 
Mambo mengine uwe unauliza kwanza.
Mimi ni health professional kwenye virology na immunology, nimuulize nani tena?? Mimi ndiyo wa kuulizwa na kutoa majibu.

Mliacha mkemia Magufuli atoe suluhisho kwenye pandemic na elimu yake ya chemistry!! Foolish nation
 
Kwanini umewasemea wakristo? Au kwa elimu yako unadhani Nabii ni lazima awe mkristo?
ebu niambie mkuu, kwa miaka hii ya karibuni ushawai kusikia nabii wa kiislamu au nabii wa mabohora?
 
Kama alikataa uwepo wake ilikuwaje akawaambia mjifukize?
Wewe na akili yako unakubali kukaa jikoni na kufyonza moshi ? Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa (Hosea 4:6)
 
Tuliochanja tunaogopa kufa
Wasio chanja wanaogopa kufa

Nimechanja nipo hai (nashukulu Mungu)
Asiyechanja Magu kafa
YOTE NI MIPANGO YA MUNGU TU

Halafu iyo habari imetolewa na kijalida tu uko kma vle hapa bongo habari za shigongo
 
Mbona wazungu wanasema Raisi wetu kauwawa, kama hujui wazungu na waarabu wanamjua Magufuli kuliko MaRaisi wote waliowahi kuiongoza Tanzania, Yani nimeshangaa wazungu wakaida wanamjua Magufuli chakushangaza wana mkubali sana na wana muheshimu.
Mzungu gani huyo au wa simba au mzungu kichaa
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Ukiona moshi,kuna moto!...
Lisemwalo lipo
 
Mzilankende Umekumbukwa Na Watanzania Wa JF
 
Acha kuita wenzako pimbi .
Anza wewe kuitwa pimbi .
Unakasirika kisa hujui kingereza na umepata chanjo ya corona unalo utajiju acha kukariri maisha zuzu wewe mxiu
 
Wewe unasumbuliwa na usukuma gang, huna lolote unalolijua
Mojawapo ya madhara inafanya unakua na hasira,kichefuchefu,kutukana na kupaniki,pia kuchukia mpk watu waliokufa🤣
Utanyooka
 
Mbona wazungu wanasema Raisi wetu kauwawa, kama hujui wazungu na waarabu wanamjua Magufuli kuliko MaRaisi wote waliowahi kuiongoza Tanzania, Yani nimeshangaa wazungu wakaida wanamjua Magufuli chakushangaza wana mkubali sana na wana muheshimu.
Kwa hiyo mradi wazungu wamesema basi wewe ni WA kuamni wanachosema? Sasa hivi wazungu wanataka wanaume waingiliane kimwili na kufunga ndoa, kwa hiyo hata wewe jaap kama ni mwanaume uko tayari kufanya hivyo sababu wazungu wamesema?
 
Acha kuita wenzako pimbi .
Anza wewe kuitwa pimbi .
Unakasirika kisa hujui kingereza na umepata chanjo ya corona unalo utajiju acha kukariri maisha zuzu wewe mxiu
Yule ni pimbi tu na atabaki kuwa pimbi. Mshamba wa Kolomije kuja kutupangia namna ya kuishi sisi watoto wa mjini ni PIMBI tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…