macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hoja ni kwamba wataalam wote wa dunia hii kuanzia wachina, wajapani, wahindi, waarabu, wazungu nk na utaalam wao wote, na sayansi yao yote, ni wajinga kulinganisha na Magufuli na wafuasi wake. Haya kafanye sherehe.Haya, jibu hoja iliyoletwa mezani sasa.
Hawa inabidi uwafurahishe. Waambie mataifa yoooote yaliyoendelea na utalaam wao wote ni wajinga ila Magufuli na wao ndiyo wajanja. Waambie Magufuli aliwaweza sana.Yule pimbi alikataa uwepo wa COVID-19 na akasema tujifukize kwa njia za kienyeji. Akakataa kupima wagonjwa na kutoa takwimu.
COVID-19 haikumkopesha, ikamswaga kama ilivyomswaga Mrundi mwenzie Nkurunzinza aliyekaidi.
Dunia lazima iambiwe kuwa Magufuli alikufa kwa COVID 19.
Yaani kukaririshwa elimu ya mzungu,eti nae tayari anajiona ana elimu! Wakati hiyo elimu yake hawezi hata tengeneza Panadol!! Kuna watu wengine mandezi sana, msamehee bure tu!!Una elimu gani chakubanga wewe? immunology ya matako?
Hayo mavitini ya biology nayo ni elimu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Elimu wanayo hao wanaokulisha machanjo yenye sumu huku unakenua tu.
Tofautisha kati ya ‘ujanja’ na ‘maono’. JPM alikuwa na maono. Ampumzike kwa amani.Hoja ni kwamba wataalam wote wa dunia hii kuanzia wachina, wajapani, wahindi, waarabu, wazungu nk na utaalam wao wote, na sayansi yao yote, ni wajinga kulinganisha na Magufuli na wafuasi wake. Haya kafanye sherehe.
Matako wewe, hiyo immunology alikufundisha babaako?Kama hukusoma walaumu wazazi wako
Njoo nikudunge chanjo ya shahawa.Kwani ulisikia usipochoma utakufa? Wako wengi hawakuchoma. Pia wako wengi ambao wako hai kwa sababu walichoma. Unafikiria maisha yamerudi kama zamani Ulaya America na Asia kwa sababu gani? Ni chanjo inasaidia. Kuna wapumbavu wanaona wajapani, wachina, wahindi, wakorea, waingereza, wajerumani, waarabu, wamarekani n.k na utaalam wao wote ni wajinga ila Magufuli ndiyo mwenye akili. Kiwango cha juu cha upumbavu hiki.
Una utaalamu gani wewe zaidi ya kubugia machanjo yenye sumu tu?Hoja ni kwamba wataalam wote wa dunia hii kuanzia wachina, wajapani, wahindi, waarabu, wazungu nk na utaalam wao wote, na sayansi yao yote, ni wajinga kulinganisha na Magufuli na wafuasi wake. Haya kafanye sherehe.
Ni huzuni sana na ndio hawa wanaitwa madokta ukiende hospitali wanakudunga sumu kwa jina la chanjo.Yaani kukaririshwa elimu ya mzungu,eti nae tayari anajiona ana elimu! Wakati hiyo elimu yake hawezi hata tengeneza Panadol!! Kuna watu wengine mandezi sana, msamehee bure tu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa, litaingizwa kwa kusema alikataa kuwepo kwa COVID19 Tanzania lakini hiyo COVID19 aliyokataa kuwepo ikaja ikamuondoa Duniani!Itafika siku jina la Magufuli litakuwepo kwenye somo la historia na hapo ndio tutajua yule ni nabii
Mbona hayo mambo raia mtaani wanayafahamu??Yaani Raia wakizungu wanamjua na wanamkubali sana sijui kwasababu gani, yani kipindi yupo hai Akiwa anatoa hotuba wazungu wanamsikiliza, niliwai kuwasikia wazungu wafurahia Magufuli kukataa lockdown na chanjo wazungu wengi waliokuwepo nchi hawaja chanja chanjo hawazitaki na hawaziamini, kuna Mwarabu kutoka Irani alikuwa anasema Magufuli sawa Samia Matatizo na huyo anayesema hayo ni Raia wa nje.
Billgate kawatoa kafara watu kupitia chanjo
Korona haihitaji maono. Ni utalaam tu.Tofautisha kati ya ‘ujanja’ na ‘maono’. JPM alikuwa na maono. Ampumzike kwa amani.
Mkuu mimi nimesema hata ulaya kuna watu kama wewe ila wewe mbona kama umepaniki? Kwani wewe ni mtu wa ajabuHakuna, Ulaya hakuna vyeti feki kama ulivyo kuwa navyo wewe kule ulaya kusoma hakuna short kati ndiyo Maana hukuti wanatumbuliwa kwa vyeti feki kama wewe ulivyo tumbuliwa, Na uta msaau Magufuli maisha yako yote wewe na Familia yako kwa kitendo cha kutumbuliwa kwa vyeti feki.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tofautisha kati ya ‘ujanja’ na ‘maono’. JPM alikuwa na maono. Ampumzike kwa amani.
Sukuma gang on the moveUna utaalamu gani wewe zaidi ya kubugia machanjo yenye sumu tu?
Watanzania hawataki tena mtu kama yule kwa level ya Urais, mwende mkaongoze ng'ombe labda, sukuma gang hawafai kabisa. Nchi ilipita kipindi cha giza kwakweliMbona hayo mambo raia mtaani wanayafahamu??
Achana na hawa wanaopost hapa kwa malipo.
Magufuli yupo mioyoni mwa watu.
Mungu atatuletea kiongozi mwingine kama yeye.
Let us not lose Hope.
Hayo ni mawazo yako binafsi.Watanzania hawataki tena mtu kama yule kwa level ya Urais, mwende mkaongoze ng'ombe labda, sukuma gang hawafai kabisa. Nchi ilipita kipindi cha giza kwakweli