Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Lengo la kufukuzwa ni kuwa wasiende kwa tiketi ya Chadema basi, hata wakipelekwa kwa tiketi ya mahakama sidhani kama Chadema itawasumbua.
 
Ndivyo Katiba ilivyo,cha ajabu ni jinsi tulivyokosa wasema kweli kukemea huo uhalifu.Siyo waasisi,Mahakama,Bunge,Chama chenye uwezo huo.Tumekuwa nchi ya One Man's Show,we are only allowed to Praise.
Tunasubiri kifanyike kitu gani ndipo tuchukue hatua?Watanzania tulisomeshwa na kuelimika kweli?Is forgery acceptable here?
 
Jumatatu saa mbili kamili wako mahakamani ! Utamu utakolea hapo !
 
Kumbuka pia kina Mwambe na Lijualikali walivopokewa bungeni baada ya kufukuzwa
 
Wamesahau hao wale Ni wabunge ukweli wote utajulikana kadiri sinavyosogea Kama Chadema ilifanya hivyo kuwakomoa imejikomoa yenyewe.Kwisha habari yao , Chadema wivu unawasumbua
Akina Halima Mdee si watoto wadogo, wanajua nini wanafanya. Hata hili walilijua kabla ya kuanza mchakato
 
Siasa kama kucheza lasti kadi naona kuna mtu katoa 8(kwangu) halafu katoa na 7 (kasimamisha) kinachofuata sasa n 😁😁😁......
 
Baadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hilo mbona Lipo wazi mazee, wataenda tu kupinga mahakamani wataendelea na ubunge wao.
 
Mkuu nina zaidi ya miaka 10 JF wewe hata miezi 3 hujafikisha, fatilia nina hadi thread zangu nilizoanzisha kwa ishu ya Zitto kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa.
 
Kuna tofauti kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa ingawa wanalazimisha waonekane sawa
 
Kwenda kinyume cha hapo ni kufunja katiba.

Kwa kiongozi wetu huyu wala si ajabu, atavunja tu.
 
Mkuu nina zaidi ya miaka 10 JF wewe hata miezi 3 hujafikisha, fatilia nina hadi thread zangu nilizoanzisha kwa ishu ya Zitto kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa.
Unaboa na visredi mbuzi. Subiri maana yajayo yanafurahisha. Hao ni wabunge hadi 2025. Anayeweza kuwaondolea ubunge ni Mwenyezi Mungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…