mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Taarifa imfikie Ndugai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mzenji gan una akili za kifala.Wamesahau hao wale Ni wabunge ukweli wote utajulikana kadiri sinavyosogea Kama Chadema ilifanya hivyo kuwakomoa imejikomoa yenyewe.Kwisha habari yao , Chadema wivu unawasumbua
Sawa mkuu nishaondoa hiyo picha ya Mzee Mdee[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Lengo la kufukuzwa ni kuwa wasiende kwa tiketi ya Chadema basi, hata wakipelekwa kwa tiketi ya mahakama sidhani kama Chadema itawasumbua.Magufuli na co wameshaandaa uhuni. Kesi ya kupinga itafunguliwa mahakamani na huyu kilaza wenu spika hatatambua maamuzi ya Chadema na kesi itapigwa dana dana mpaka miaka mitano iishe. Hapo ndipo tulipofikia. Viongozi wanatumia uhuni wao kuendesha nchi. Nadhani hata wewe unajua kwa kina mipango yote.
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.#EastAfricanRadio
================
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
================
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.#EastAfricanRadio
================
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
================
Kumbuka pia kina Mwambe na Lijualikali walivopokewa bungeni baada ya kufukuzwaMagufuli na co wameshaandaa uhuni. Kesi ya kupinga itafunguliwa mahakamani na huyu kilaza wenu spika hatatambua maamuzi ya Chadema na kesi itapigwa dana dana mpaka miaka mitano iishe. Hapo ndipo tulipofikia. Viongozi wanatumia uhuni wao kuendesha nchi. Nadhani hata wewe unajua kwa kina mipango yote.
Dawati la jinsia kufanya nn wakati haki inapatikana mahakamani na si vinginevyoKama ni kuonewa waende kwenye dawati la jinsia.
Akina Halima Mdee si watoto wadogo, wanajua nini wanafanya. Hata hili walilijua kabla ya kuanza mchakatoWamesahau hao wale Ni wabunge ukweli wote utajulikana kadiri sinavyosogea Kama Chadema ilifanya hivyo kuwakomoa imejikomoa yenyewe.Kwisha habari yao , Chadema wivu unawasumbua
Haya sasa wewe log out miKulog off ya kizamani wewe. Siku hizi ni kuLOG OUT
Hilo mbona Lipo wazi mazee, wataenda tu kupinga mahakamani wataendelea na ubunge wao.Baadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mkuu nina zaidi ya miaka 10 JF wewe hata miezi 3 hujafikisha, fatilia nina hadi thread zangu nilizoanzisha kwa ishu ya Zitto kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa.Mueleweshe 100 Likes na mkumbushe kijana anayelivalia njuga suala hili Quinine . Usimsahau (Tundu Lissu Kafuta CCM....) mjinga mjinga Erythrocyte kuwa wanajindanganya. Ili khali Spika kasema atawalinda, kweli kazi ipo atawalinda. Vile vile Mfahamishe Retired na wenzake kuwa huu ni mwendelezo wa ubinafsi wa watu, kuwa kwa vile hatupo nao wakose. Mbona wamegwaya kwa Aida?
Hivi una ubongo au maji tuKama ni kuonewa waende kwenye dawati la jinsia.
Unaboa na visredi mbuzi. Subiri maana yajayo yanafurahisha. Hao ni wabunge hadi 2025. Anayeweza kuwaondolea ubunge ni Mwenyezi Mungu tu.Mkuu nina zaidi ya miaka 10 JF wewe hata miezi 3 hujafikisha, fatilia nina hadi thread zangu nilizoanzisha kwa ishu ya Zitto kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa.