Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Taarifa imfikie Ndugai
Screenshot_20201128-112221.jpg
 
Magufuli na co wameshaandaa uhuni. Kesi ya kupinga itafunguliwa mahakamani na huyu kilaza wenu spika hatatambua maamuzi ya Chadema na kesi itapigwa dana dana mpaka miaka mitano iishe. Hapo ndipo tulipofikia. Viongozi wanatumia uhuni wao kuendesha nchi. Nadhani hata wewe unajua kwa kina mipango yote.
Lengo la kufukuzwa ni kuwa wasiende kwa tiketi ya Chadema basi, hata wakipelekwa kwa tiketi ya mahakama sidhani kama Chadema itawasumbua.
 
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.#EastAfricanRadio
================
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
================

Ndivyo Katiba ilivyo,cha ajabu ni jinsi tulivyokosa wasema kweli kukemea huo uhalifu.Siyo waasisi,Mahakama,Bunge,Chama chenye uwezo huo.Tumekuwa nchi ya One Man's Show,we are only allowed to Praise.
Tunasubiri kifanyike kitu gani ndipo tuchukue hatua?Watanzania tulisomeshwa na kuelimika kweli?Is forgery acceptable here?
 
#HABARI Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa @halimamdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.#EastAfricanRadio
================
Mambo yameanza kuwa sio mambo.
================

Jumatatu saa mbili kamili wako mahakamani ! Utamu utakolea hapo !
 
Magufuli na co wameshaandaa uhuni. Kesi ya kupinga itafunguliwa mahakamani na huyu kilaza wenu spika hatatambua maamuzi ya Chadema na kesi itapigwa dana dana mpaka miaka mitano iishe. Hapo ndipo tulipofikia. Viongozi wanatumia uhuni wao kuendesha nchi. Nadhani hata wewe unajua kwa kina mipango yote.
Kumbuka pia kina Mwambe na Lijualikali walivopokewa bungeni baada ya kufukuzwa
 
Wamesahau hao wale Ni wabunge ukweli wote utajulikana kadiri sinavyosogea Kama Chadema ilifanya hivyo kuwakomoa imejikomoa yenyewe.Kwisha habari yao , Chadema wivu unawasumbua
Akina Halima Mdee si watoto wadogo, wanajua nini wanafanya. Hata hili walilijua kabla ya kuanza mchakato
 
Siasa kama kucheza lasti kadi naona kuna mtu katoa 8(kwangu) halafu katoa na 7 (kasimamisha) kinachofuata sasa n 😁😁😁......
 
Baadae atapigwa bati utasikia nilinukuliwa vibaya sikumaanisha hivyo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hilo mbona Lipo wazi mazee, wataenda tu kupinga mahakamani wataendelea na ubunge wao.
 
Mueleweshe 100 Likes na mkumbushe kijana anayelivalia njuga suala hili Quinine . Usimsahau (Tundu Lissu Kafuta CCM....) mjinga mjinga Erythrocyte kuwa wanajindanganya. Ili khali Spika kasema atawalinda, kweli kazi ipo atawalinda. Vile vile Mfahamishe Retired na wenzake kuwa huu ni mwendelezo wa ubinafsi wa watu, kuwa kwa vile hatupo nao wakose. Mbona wamegwaya kwa Aida?
Mkuu nina zaidi ya miaka 10 JF wewe hata miezi 3 hujafikisha, fatilia nina hadi thread zangu nilizoanzisha kwa ishu ya Zitto kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa.
 
Kuna tofauti kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa ingawa wanalazimisha waonekane sawa
 
Kwenda kinyume cha hapo ni kufunja katiba.

Kwa kiongozi wetu huyu wala si ajabu, atavunja tu.
 
Mkuu nina zaidi ya miaka 10 JF wewe hata miezi 3 hujafikisha, fatilia nina hadi thread zangu nilizoanzisha kwa ishu ya Zitto kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa.
Unaboa na visredi mbuzi. Subiri maana yajayo yanafurahisha. Hao ni wabunge hadi 2025. Anayeweza kuwaondolea ubunge ni Mwenyezi Mungu tu.
 
Back
Top Bottom