Please naombeni mnivumilie nioe kwanza huyu binti kutoka Zanzibar wakuu

Please naombeni mnivumilie nioe kwanza huyu binti kutoka Zanzibar wakuu

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo.

Anyway wakuu sijaoa kabisa, timu kataa ndoa, nisameheni ndugu zangu, nimejikita moyo wangu umependa, nimetikiswa nikatikisika, na huyu mtoto mzuri hivo pliz nivimilieni kama miaka minne hivi inshallah halafu mtaendelea na mambo yenu, kuvunja sijui kufanyeje.

Nimewaheshimu tu sababu sote ni watu wazima humu sitegemei matatizo ndugu yangu, sijatoa hata mahari, wazazi wake wakigundua mtaniingiza kwenye matatizo pliz🙏🙏🙏.
 
Jamani sioni shida kupost picha yangu hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo.

Anyway wakuu sijaowa kabisa, timu kataa ndoa, nisamehen ndugu zangu, nimejikita moyo wangu umependa, nimetikiswa nikatikisika, na huyu mtoto mzuri hivo pliz nivimilieni kama miaka minne hivi inshallah alafu mtaendelea na mambo yenu, kuvunja sijui kufanyeje.

Msitumie hii picha popote, tafungwa nimewaheshimu tu sababu sote ni watu wazima humu sitegemei matatizo ndugu yangu, sijatoa hata mahali, wazazi wake wakigundua mtaniingiza kwenye matatizo pliz🙏🙏🙏.
Utagongewa na si mayai
 
Back
Top Bottom