Please naombeni mnivumilie nioe kwanza huyu binti kutoka Zanzibar wakuu

Please naombeni mnivumilie nioe kwanza huyu binti kutoka Zanzibar wakuu

Iko hivi muungano una umuhimu Leo hii si vijana tunakutana pamoja kukaa na kubadilishana mawazo bila tatizo wengine huenda mbali Hadi kitengeneza familia pamoja na kuzalisha vizazi, hiyo ni Moja ya faida, sasa kama nyie hamuoni hiyo faida basi nivumilieni nimuowe huyu Binti nikimaliza kazi kwenu kwani mkivunja sahivi tashindwa kukamilisha lengo kaka
Sawa mkuu, nimekuelewa vyema hoja yako. Asante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom