MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Tulia,unataka kusemaje bhana.Kumbe kuna Muungano jf
Tulia,unataka kusemaje bhana.Kumbe kuna Muungano jf
Labda moderators wafanye kuzileta upya mada za zamani, mada ije ikiwa haina comments hata 1 watu wachangie upyaKweli,watu baadhi wameacha kuingia huku,maana ukiingia unakutana nyuzi zisizo nva kichwa Wala miguu
TuunganeTulia,unataka kusemaje bhana.
Miaka 20 kurudi chini ni teenagers, jifikirie wewe kabla hujazeeka ulipokuwa na miaka 20 akili zako zilikuaje kwenye mbalimbali na ulikuwa serious kiasi gani kwenye maisha.Miaka 20 nae unamuita teenager? Wengi hawajielewi ndo matatizo ya akili yenyewe haya.
Jf hakuna mwenye miaka 19
Mkuu Huwa una soma kila nyuzi? Ukiona kitu hakifai si una achana nacho, why una jitesaKweli,watu baadhi wameacha kuingia huku,maana ukiingia unakutana nyuzi zisizo nva kichwa Wala miguu
Kule wananakuambia type amen or you'll dieWatoto wengi,now Bora ata Facebook.
Walikwambia hakuna cha maana humu? Mbona we bado upo nyuzi ni nyingi angalia inayo kufaa kaka, kuvalia shela na harusi si Yako, tukufikiri vipi?Kweli,watu baadhi wameacha kuingia huku,maana ukiingia unakutana nyuzi zisizo nva kichwa Wala miguu
We unaejielewa una Fanya Nini kwenye huu Uzi unge nyamaza ukapuuzia unge pungukiwa Nini?Miaka 20 nae unamuita teenager? Wengi hawajielewi ndo matatizo ya akili yenyewe haya.
Jf hakuna mwenye miaka 19
Kosa la jamaa ni nini?Kichefuchefu!
Tunaingia jf sababu ya mazoea tu lakini sasa hivi hamna hata cha maana
Wapi nimesema ana makosa?Kosa la jamaa ni nini?
Unafanya Nini hapa, si una angalia mada inayo kufaa we unapenda bado unasoma na comments acha unamaliza bando, unge soma ukadharau ukapita kushoto huo ndo ungwana, we sikutofautishi na mvuta sigara anae mponda mlevi,Labda moderators wafanye kuzileta upya mada za zamani, mada ije ikiwa haina comments hata 1 watu wachangie upya
NishapuuziaWe unaejielewa una Fanya Nini kwenye huu Uzi unge nyamaza ukapuuzia unge pungukiwa Nini?
Asante bro nitete, nimeshangaa great thinker, wanaponda, sija tukana mtu sija dharau mtu, walikua na option ya kupita kimyaKosa la jamaa ni nini?
Unajidhalilisha, utadharauliwa mkuu, punguza ujuaji nyuzi ni nyingi sana, kinacho kuumiza Nini mpaka udharau mawazo ya wengine?Nishapuuzia
Ulitaka nicomment ulichotaka kusikia? Sipo hapa kukufurahisha na wewe haupo hapa kunifurahisha hivyo huo ushauri unaonipa mimi nipuuzie uzi wako unaweza kuutumia wewe kupuuzia comments zangu.Unajidhalilisha, utadharauliwa mkuu, punguza ujuaji nyuzi ni nyingi sana, kinacho kuumiza Nini mpaka udharau mawazo ya wengine?
Malezi laini laini pia yanadidimiza uwezo wa kuchakata na kuwasilisha fikra zetuUwezo wa watu kufikiri umepungua sana inawezekana shida ni aina ya vyakula pia..
Usitake tuchambane👌Hao walio acha
Walikwambia hakuna cha maana humu? Mbona we bado upo nyuzi ni nyingi angalia inayo kufaa kaka, kuvalia shela na harusi si Yako, tukufikiri vipi?
Ila watu wa Fesibuku, bt sio kwamba tutafute pesa kwanza kakaJamani sioni shida kupost picha yangu hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo.
Anyway wakuu sijaowa kabisa, timu kataa ndoa, nisamehen ndugu zangu, nimejikita moyo wangu umependa, nimetikiswa nikatikisika, na huyu mtoto mzuri hivo pliz nivimilieni kama miaka minne hivi inshallah alafu mtaendelea na mambo yenu, kuvunja sijui kufanyeje.
Msitumie hii picha popote, tafungwa nimewaheshimu tu sababu sote ni watu wazima humu sitegemei matatizo ndugu yangu, sijatoa hata mahali, wazazi wake wakigundua mtaniingiza kwenye matatizo pliz🙏🙏🙏.
Samahan mkuu kama nmekukoseaUsitake tuchambane👌