Hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo.
Anyway wakuu sijaoa kabisa, timu kataa ndoa, nisameheni ndugu zangu, nimejikita moyo wangu umependa, nimetikiswa nikatikisika, na huyu mtoto mzuri hivo pliz nivimilieni kama miaka minne hivi inshallah halafu mtaendelea na mambo yenu, kuvunja sijui kufanyeje.
Nimewaheshimu tu sababu sote ni watu wazima humu sitegemei matatizo ndugu yangu, sijatoa hata mahari, wazazi wake wakigundua mtaniingiza kwenye matatizo pliz🙏🙏🙏.