Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Bro ucwaze shem wako huyo,Ila JF 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Utagongewa na si mayaiJamani sioni shida kupost picha yangu hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo.
Anyway wakuu sijaowa kabisa, timu kataa ndoa, nisamehen ndugu zangu, nimejikita moyo wangu umependa, nimetikiswa nikatikisika, na huyu mtoto mzuri hivo pliz nivimilieni kama miaka minne hivi inshallah alafu mtaendelea na mambo yenu, kuvunja sijui kufanyeje.
Msitumie hii picha popote, tafungwa nimewaheshimu tu sababu sote ni watu wazima humu sitegemei matatizo ndugu yangu, sijatoa hata mahali, wazazi wake wakigundua mtaniingiza kwenye matatizo pliz🙏🙏🙏.
Watoto wengi,now Bora ata Facebook.Jf siku hizi inaboa..!
Demographic shift (kubadilika kwa muundo wa idadi ya watu), Tanzania kwa sasa asilimia kubwa ya population ni teenagers.Uwezo wa watu kufikiri umepungua sana inawezekana shida ni aina ya vyakula pia..
Sio madogo tu humu kuna wengine age inakimbilia 40 lakini.......Hawa madogo wa 2000 waliojiunga jf 2025,2026 ni mbumbumbu🙌🚮
Inawezekana wapo sawa ila wanafanya mambo ya rika lao tu, labda tatizo wanafanyia kwenye mtandao usio sahihi. Content zao zingefaa zaidi Instagram, Facebook na TikTok badala ya JF.Hawa madogo wa 2005 wa kikwete waliojiunga jf 2025,2026 n🙌🚮
Imevamiwa na walowezi mkuuUwezo wa watu kufikiri umepungua sana inawezekana shida ni aina ya vyakula pia..
Eti anakimbilia arobaini😁Sio madogo tu Kuna watu humu kuna watu age inakimbilia 40 lakini............
Kichefuchefu!Watoto wengi,now Bora ata Facebook.
Bora ya fb,waende TikTok,maana huko🙌Inawezekana sio mbumbu ila wanafanya mambo ya rika lao tu, labda tatizo wanafanyia kwenye mtandao usio sahihi. Content zao zingefaa zaidi Instagram, Facebook na TikTok badala ya JF.
Kumbe kuna Muungano jfUtakaovunjwa labda muungano wa JF.
Miaka 20 nae unamuita teenager? Wengi hawajielewi ndo matatizo ya akili yenyewe haya.Demographic shift (kubadilika kwa muundo wa idadi ya watu), Tanzania kwa sasa asilimia kubwa ya population ni teenagers.
Kweli,watu baadhi wameacha kuingia huku,maana ukiingia unakutana nyuzi zisizo nva kichwa Wala miguuKichefuchefu!
Tunaingia jf sababu ya mazoea tu lakini sasa hivi hamna hata cha maana