Please naombeni mnivumilie nioe kwanza huyu binti kutoka Zanzibar wakuu

Labda moderators wafanye kuzileta upya mada za zamani, mada ije ikiwa haina comments hata 1 watu wachangie upya
Unafanya Nini hapa, si una angalia mada inayo kufaa we unapenda bado unasoma na comments acha unamaliza bando, unge soma ukadharau ukapita kushoto huo ndo ungwana, we sikutofautishi na mvuta sigara anae mponda mlevi,
 
Unajidhalilisha, utadharauliwa mkuu, punguza ujuaji nyuzi ni nyingi sana, kinacho kuumiza Nini mpaka udharau mawazo ya wengine?
Ulitaka nicomment ulichotaka kusikia? Sipo hapa kukufurahisha na wewe haupo hapa kunifurahisha hivyo huo ushauri unaonipa mimi nipuuzie uzi wako unaweza kuutumia wewe kupuuzia comments zangu.

Kama kudharaulika umeanza wewe kwa kupost picha ya mtu bila ruhusa yake hiyo akili?
 
Ila watu wa Fesibuku, bt sio kwamba tutafute pesa kwanza kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…