Please naombeni mnivumilie nioe kwanza huyu binti kutoka Zanzibar wakuu

Hongera kwa kupata chombo , ila nawashauri mmeze dawa za minyoo wewe na chombo yako
kaka ndo miili yetu, si wembamba, mi hata nikienda gym nachukua muda sanakujaa, mpaka nakata tamaa, lakini hii picha, ina hisia tulipiga mazingira Fulani kipindi hicho hivo ina kumbukumbu nyingi sana kwenye maisha yangu, hapo nilikua nimetoka kuchakalika na jasho zito, nimechoka balaa, lakini mtoto mzuri akani hagi aseeee nilijisikia furaha sana, mwanzo nilidhani atasema nanuka jasho dahhh
 
Bado una utoto mwaya, sema sio mbaya kila mtu na lifestyle yake, ila levels hizi ni za Facebook wenzio kule hapa sijaona Great thinker ikitumika effectively
Una akili kiasi Uzi wa kula tunda kimasihara, ni nyuzi ya kumshughilisha mtu anae jielewa? Au una ubaguzi wako wa Tanganyika na uzanzibar
 
Asante bro nitete, nimeshangaa great thinker, wanaponda, sija tukana mtu sija dharau mtu, walikua na option ya kupita kimya
Watu wajuaji sana humu. Shida nini wewe kuonyesha hisia zako. Halafu huu uzi ni Great Thinking sasa, ila mwenye akili ndogo ndoo haelewi
Tegemea mishangazi humu kukulaumu kwa sababu ya wivu wa mtoto mkali za kizanzibar
 
Kwani unaoa muungano au hiyo manzi?
 
Muungano tunapigana kuuvunja fasta, vitoto vya aina hiyo hata Mbagala vimejaa.
 
NMEINGIA jf au Facebook ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ