Please naombeni mnivumilie nioe kwanza huyu binti kutoka Zanzibar wakuu

Ushauri kagua marinda siku akija kujifungua manesi wasije kukushushia matusi
 
Bado una utoto mwaya, sema sio mbaya kila mtu na lifestyle yake, ila levels hizi ni za Facebook wenzio kule hapa sijaona Great thinker ikitumika effectively
Ila Uzi wa kula tunda KIMASIKHARA ni great thinker? Haya twambie mmechangia Nini au mme tatua Nini kwenye taifa letu baada ya kujadili kula tunda kimasikhara
 
Watu wajuaji sana humu. Shida nini wewe kuonyesha hisia zako. Halafu huu uzi ni Great Thinking sasa, ila mwenye akili ndogo ndoo haelewi
Tegemea mishangazi humu kukulaumu kwa sababu ya wivu wa mtoto mkali za kizanzibar
Kaka siko vizuri ninge kua poa kaka ninge kirushia hata laki Moja tsh. Shukran sana Kuna huyu ephen haja Anza Leo Kuni attack, ni muda sana sasa ndo nimeelewa Kwa Nini Huwa anani attack,
 
Ujumbe wako sijauelewa wote mkuu.
Iko hivi muungano una umuhimu Leo hii si vijana tunakutana pamoja kukaa na kubadilishana mawazo bila tatizo wengine huenda mbali Hadi kitengeneza familia pamoja na kuzalisha vizazi, hiyo ni Moja ya faida, sasa kama nyie hamuoni hiyo faida basi nivumilieni nimuowe huyu Binti nikimaliza kazi kwenu kwani mkivunja sahivi tashindwa kukamilisha lengo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…