PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

Sasa hafai vp wakati mtu anakalisha watu kwa hoja sio bla bla.
Toa hoja zinazoeleweka watu wakuelewe sio kuleta chuki zako binafsi
 
Ni vitu vya ajabu sana mkuu, ndio maana mimi kwenye mada kama hizi huwa sichagiagi mara nyingi huwa nasoma comments tu.
 
Yaani upigwe risasi 16
Wakunyime matibabu
Wakufukuze Ubunge
Wakufanyie figisu kwenye kampeni
Kisha baada ya kampeni wakuahidi kuwa safari hii hawakukosi

Halafu kweli utoke hapo usiwe na hasira kweli?
Mtu yeyote mwenye chembe ya utu aliyejua jinsi Magufuli alivyokuwa muonevu na katili lazima awe na hasira naye na utawala wake!
 
Hoja zilizotolewa kwenye thread Umeshindwa kuziona kabisa kuwa Zina mantiki .. kama PLO Ameshindwa kuona Hoja kama hizo au ameziona Halafu akashindwa kuzitolea majibu sahihi Bila shaka naungana na Wengine wanao mbeza jamaa itakuwa amesoma lakini kichwani ni 0 Nina wasi wasi na Akili za wale wanao m- support itakuwa hawajitambui
 
Tukubali tu Lissu alishindwa hoja, it was a debate kumbukeni hilo, kila mmoja alitetea upande wake. Sasa hii kuanza kumshambulia Lumumba haipunguzi maumivu ya kushindwa hoja.
 
Huyu jamaa kasoma lakini kaweka akili zake tumboni last week kaomba eti akamsifie Rais wa Malawi,mtu mzima ovyooo
Yaani kumbe huwa anaomba invitation !? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Now I know why kam-sifia jiwe licha ya udhaifu wote aliouonyesha kiutendaji wakati wa Utawala wake


Iko hivi huyo professor ni Mtu anaye tumika kuwapigia debe watawala ili wampe uhakika wa kula kwa namna yoyote ile ilikua ni lazima amsifie jiwe ili aendelee kujibrand kwa sababu viongozi wengi wa Africa wanapenda kusifiwa hata pale wanapo fanya madudu katika tawala zao ' Sote kwa pamoja tujiulize swali kama ingetokea akamuongelea jiwe negative kuna kiongozi gani mwingine Anaye toka Africa ambaye Atamruhusu kuwa karibu nae ' in shot ndio ingekuwa amesha jiharibia Na kujikosesha uhakika wa kula yake
 
Kasema kweli kabisa.
 
Huyu mzee mbona PCCB ya Kenya ilimshinda kasha baki kuwa mpiga kelele kwenye majukwaa ya wajinga ndo huwa wanamsikiliza na kumuona wa maana.
Tafadhari jikite kwenye muktadha wa kile walichokuwa wanajadili jana.

Mkiona mmepigwa knock out mnaanza kujadili mtu badala ya vitu, niambie Tundu wakati mbunge kafanya nini cha maana?
 
Amekuwa prof kwa huodali wa kukakiri notisi ila hana cha maana achoongea
Hahah

Demokrasia lakini kusikiliza mawazo ya wengine inakuwa shida. Yule profesa ana exposure na articulate kuliko yule chizi maarifa
 
He was paid to make propoganda on behalf of the gonner and CCM. How and why he visited chato and mwanza and held a talk with the gonner? He talked like CCM. He didn't answer the questions rather attacked the questios
Weka ushahidi kalipwa na nani?
 
Na wewe mpaka unafanyiwa hayo yote.. wewe unakuwa umefanya nini!? Haswa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu asirudi Tanzania kea Sasa, loyalists wa Jiwe bado wapo anaweza kudhurika.

Kibwengo alizuia mpaka kwa kuua watu wasiongee mabaya yake, Sasa kafa watu wasiongee tena huo ni UJUHA tu wa kizwazwa.

Kibwengo !
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
JF nayo imepitia moto sana awamu iliyoisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…