Hata ukija na majina zaidi ya mmoja utaingia Chaka tu; mkwere alikua na matatu:- Membe, January na Asha Rose lakini hakufanikiwa na badala yake JIWE akapenya!!! Hawa viongozi wanafikiri kwavile wanafanikiwa kuwaibia wananchi, hivyo wataweza kuwachagulia Rais pia!!!H
Mtego wa CCM upo kwenye mkutano mkuu hapo ndiyo pamoto ukija na jina lako mfukoni lazima walifyeke
Kwa sheria za mafao ya marais Kumchagua Rais chini ya miaka 55 ni janga kwa Taifa.Jaffo mnampa tu kiki hasizostahili....
Yule dogo hawezi kuwa Rais..kwanza hayuko smart enough kichwani, anafanya mambo kwa mihemko, hata haiba ya Urais hana.. Kwa kifupi hafai
Rais ajae ni lukuvi japo hana elimu. Sub yake ni kabudi alafu mwigulu ni shabiki nje ya uwanja...
Binti hivi mbona unaliehadidia hili jambo? Achana na JPM kuongeza muda hilo halipo. Lakini wewe si wa kwanza kuzusha, hata Mkapa wapuuzi walizusha kuwa atabadili katiba; JK naye alizushiwa na sasa JPM unamzushia kila comment yako.Rais ni huyo huyo Magufuli. Magufuli alishatamka haoni mtu wa kufanya "makubwa"aliyoyafanya yeye.Maono ya madictator huwa hawaoni mtu kama wao wa kuweza kuongoza.
JK kuwa Rais haikuwa inakwepeka! JK alipaswa kua Rais toka 1995 sema Julius akasema acha kwanza Benja atawale then after Benja achukue mzigo JKKwa jinsi JK na JPM walivyoupata Urais, anything is possible kwa CCM. Ila Bora Kassim kuliko Jaffo.... Kwa maoni yangu.
Subirini mtakapo kujua maana ya Usalama wa Taifa kama Mkwere alipo ujuwa wakati akitaka Membe amrithi kilicho mtokeaHivi unadhani kina Gwajima wameenda bungeni kimakosa?? Subiri mchakato wakumsaka Rais uanze,ndiyo utajua
Una akili sana. Kwa kifupi Magufuli na Ikulu ni kifo tu kitawatenganisha.Rais ni huyo huyo Magufuli. Magufuli alishatamka haoni mtu wa kufanya "makubwa"aliyoyafanya yeye.Maono ya madictator huwa hawaoni mtu kama wao wa kuweza kuongoza.
Ndo nani huyoNaaam naaaam, Bashungwa for .......ncy 2025
Hana ubavu huyo.labda useme mwinyiBashungwa sio Msukuma
Hiz ndoto zaweza kuwa kweliMarais wote waliomtangulia walikuwa na akili na wabobezi wa siasa kuliko Jiwe lakini walishindwa kuwachagulia wabongo warithi wao!!! Mkwere alimtaka Membe , sasa yuko wapi? Hata Mwalimu alishndwa kumuachia Salim!!! Kama ana akili kidogo ataelewa kuwa kama ana mpango wa kumuachia msukuma mwenzie afadhali auache.
[emoji44][emoji44][emoji44] unduguMarais wote waliomtangulia walikuwa na akili na wabobezi wa siasa kuliko Jiwe lakini walishindwa kuwachagulia wabongo warithi wao!!! Mkwere alimtaka Membe , sasa yuko wapi? Hata Mwalimu alishndwa kumuachia Salim!!! Kama ana akili kidogo ataelewa kuwa kama ana mpango wa kumuachia msukuma mwenzie afadhali auache.
Bashungwa ni nani? Msukuna[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Naaam naaaam, Bashungwa for .......ncy 2025
Tofautisha "kudhibiti" na "kufuatilia" au una shida kusoma na kuelewa.Yaani Polepole ndo achaguliwe kumdhibiti Majaliwa bungeni?
Acha ufala sisi kina naniSisi ni tunamtaka Magufuli huyuhuyu anyooshe hii nchi kwanza.
Uhuru mdogo Sana kwa uzi Kama huu.Kwa nini mkuu? Kwani Uhuru wa kutoa maoni haupo JF