PM Majaliwa: Watanzania tunaomba mtuamini (kuhusu uwekezaji Bandarini)

Nadhani hii Sentensi bora asingeisema..., ni sawa sawa Kicheche amwambie kuku niamini siwezi kukudhuru..., nadhani cha maana kuliko kuaminiana (which has been proven kwamba hawa jamaa na politicians in general sio wakweli ni the past) waweke uwezi na kila kitu kiwe transparent na open (upuuzi wa siri za mikataba ibakie huko kwenye familia na ukoo wao - Sio mali ya vizazi hivi na vizazi vijavyo

Urithi sio mali yako pekee sababu uliikuta inabidi kuwaachia na wengine hivyo iwe na uwazi wa nini kinaendelea

Kama kusimamia Tozo zetu tu mnaboronga alafu leo mnakuja eti tuwaamini (si tutakuwa mazezeta)
 
Pm hakujiandaa kuwa pm au anafanya kwa makusudi
Uwezo wake kiuongozi ni mdogo sana. Chini ya JPM alifanya kazi kama tarishi. Sasa hivi anatakiwa afikiri, lakini inaonekana uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo. Anadhani kufoka ni sehemu ya uimara wa kiongozi.
 
Mwambieni hamtumuelewi
 
PM wasipoteze muda kuwaelimisha watu ambao hawataki kuelimika wana agenda zao hao
 
Uwezo wake kiuongozi ni mdogo sana. Chini ya JPM alifanya kazi kama tarishi. Sasa hivi anatakiwa afikiri, lakini inaonekana uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo. Anadhani kufoka ni sehemu ya uimara wa kiongozi.
Aisee watu mnajua kudharau
 
Huyu naye ni walewale hajausoma huo mkataba. Aache kuropoka (japo namheshimu). Mkataba wenyewe umeandika wazi, yeye anajisemea ya kutoka kichwani mwake. Waufute huo mkataba haufai.
Kwa nini hawanukuu hivyo vifungu kudhibitisha wayasemayo?
 
Uwekezaji gani huo usio na ukomo.
 
Hatuwaamini tena! Na bado hatujasahau maneno ya PM alivyotudanganya kwamba Magufuli ni mzima,kumbe alishakufa.
 
sijawahi kumwamini
na kibaya zaidi huwa nachukulia kuwa nchi haina PM na Makamu wa Rais kabisa
 
Uwezo wake kiuongozi ni mdogo sana. Chini ya JPM alifanya kazi kama tarishi. Sasa hivi anatakiwa afikiri, lakini inaonekana uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo. Anadhani kufoka ni sehemu ya uimara wa kiongozi.
PM na Rais inabidi iwe partnership inayokubaliana na kushibana na kufanya kazi pamoja (as a team) Ndio maana kwa nchi yetu ya watawala na sio viongozi - Inabidi mtu kama Kawawa afanye kazi na Nyerere (Kawawa was Shielding Mabaya yote ya Nyerere hivyo watu kumuamini Nyerere na kufuata maelekezo na lawama kumuangukia Kawawa na kumlaumu; Nahisi kwa hapa au kwa hili huenda Samia anataka kumtupia zigo Majaliwa awe Kawawa wake - Kwanini nasema hivyo - Mwanzo alikaa kimya kuanza DPW)

Ila all in all Waziri Mkuu inabidi awe mtendaji na kwa kutenda huko inabidi aruhusiwe kufanya hivyo (sasa kama hauruhusiwi inakuwaje) - Sokoine alikuwa Mtendaji na Alikuwa mkali na mfuatiliaji (Je angaweza kufanya hayo bila Boss wake kumkumbalia) Ndio maana kila siku nasema JPM would have made the Best Prime Minister ever - Kama rais angekuwa sio mfuatiliaji na mwanadiplomasia (yaani JPM anakiwasha huku Rais anakipuliza polepole)
 
hivi nani alileta huu mchongo wa Bandari ?
 
Bandari za zanzibar hazimo kwa sababu wanasema kila mmoja anasimamia bandari zake
 
Huaminiki Hata kidogo.

Ubunge wako ulitenguliwa na Mahakama Bado unajiita mbunge!
 
KWA HALI HII HUWEZI KUAMINIKA MILELE
 

Attachments

  • F3397D75-0052-45CF-AEA5-4D8FBD8A4209.jpeg
    72.1 KB · Views: 1
  • IMG_1091.MP4
    5.4 MB
  • DEC509E0-6BBA-4D7B-B2AD-8505DE356AC0.jpeg
    141.1 KB · Views: 1
  • 591AA14F-62EC-4BCA-A5C3-995ED252D568.jpeg
    70.4 KB · Views: 1
  • EDB84494-7081-43D4-AE36-2E43DC56EFF0.jpeg
    115 KB · Views: 1
  • D155D73A-402E-4502-B1B0-8AF0765AA0D4.jpeg
    78.6 KB · Views: 1
  • 81FFD0A1-55B1-4FF9-B44D-A06D345A857E.jpeg
    79.1 KB · Views: 1
  • AC370BCB-6D74-47F0-AC9B-66B18F390A15.jpeg
    9.9 KB · Views: 1
  • IMG_1035.MP4
    13.1 MB
  • AFA5CFD9-9B3C-4718-9A86-098BB92ED84F.jpeg
    33.9 KB · Views: 1
  • A9EC332B-957D-4456-9A4F-143FF416DDA0.jpeg
    57.3 KB · Views: 1
  • D04603E9-7B8C-4F6B-B086-87645F0F28C0.jpeg
    57 KB · Views: 1
  • C45B502F-0708-43FD-BAAB-7D4ECFFC0DBE.jpeg
    58.4 KB · Views: 1
  • 66A882D3-9927-4F8C-BC51-ED056876E92C.jpeg
    62 KB · Views: 1
  • 4631DC6B-8F87-42FD-ACE0-1AF17D984B51.jpeg
    55.5 KB · Views: 1
  • C5B20D4A-D371-45AD-BA66-981D7E725E42.jpeg
    71.8 KB · Views: 1
  • 49E47890-32BB-4E5C-B5C6-C38321E5C4B0.jpeg
    35.3 KB · Views: 1
  • F98BC3D1-4341-44AA-BD6C-6B0E21ABE61D.jpeg
    58 KB · Views: 1
  • 768DEC5C-D63F-4851-A0F6-9451FB11E810.jpeg
    115.9 KB · Views: 1
  • 78781569-B46E-48E8-B9D4-DD4E85656533.jpeg
    23.3 KB · Views: 1
  • A6218055-DCA6-4C00-90A3-AA009A6A2DBA.jpeg
    66.2 KB · Views: 1
  • DF667088-5439-4794-8A40-A5BBA5EE36A0.jpeg
    50.6 KB · Views: 1
  • 011DB482-AFE6-4D90-80BD-1862173F3F19.jpeg
    37.4 KB · Views: 1
  • F464537F-A852-4D2F-A8FB-FE5ADD52564D.jpeg
    51.3 KB · Views: 1
  • 308B71AF-E3E9-469F-951F-44F96702EBF4.jpeg
    140.9 KB · Views: 1
  • 6A31DDD1-3D52-4548-8537-4A00BE7CF14F.jpeg
    55.3 KB · Views: 1
  • DB556B48-5244-40EB-B512-DCD54407DE1A.jpeg
    131.1 KB · Views: 1
  • BB09B829-78F1-462C-843C-948F194B36A6.jpeg
    150.5 KB · Views: 1
  • 07819B99-FBFE-4FEC-BE1D-1992E2CEE9A8.jpeg
    75.7 KB · Views: 1
  • 02B4B807-CD2E-4C9B-ADB1-3DA7DB2E67F5.jpeg
    55.1 KB · Views: 1
Muda utaongea...
 
Huyu PM sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye bado anamuamini. Kauli zake nyingi zina utata tangu aliposema JPM ni mzima anaendelea na kazi!
Atatumia nguvu nyingi sana watu kumuamini tena kauli zake
Na endapo uchaguzi ujao akigombea,tumkatae kwa kusemasema uongo. Atatudanganya sana huyu jamaa. Haaminiki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…