Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

Ndio ubaya wa kuingiza siasa ktk maswala ya taaluma.Tumekwisha.
 
Mimi naombeni msaada kwa mwenye taarifa zaidi kuhusu Alama C unatakiwa kuwanazo ngapi ili uende Advance ( Private )!???
 
[h=2] 1888554_848291181851968_1402328781_n.png[/h]
KWANINI WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA ELIMU KATIKA HILI WASIJIUZULU SASA???

TWENDE PAMOJA KATIKA UCHUNGUZI HUU,,!!!

NI KIGEZO GANI CHA KUTOFAUTISHA MATOKEO HAYA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KIMETUMIKA???

Kinachonishangaza sana na kunisikitisha ni hiki hapa.

Kuna wanafunzi wana-alama (points) 42 wamepewa Div.0, na kuna wanafunzi wanapointi 46 wamepewa Div. IV,

Kuna waliopata points 43 wamepewa Div.IV, na wengine wamepata points 43 wamepewa Div. 0

hii sio kawaida ni zaidi ya uchakachuaji.

UCHAMBUZI KWA KIFUPI HUU HAPA,,!! Kuwa makini uone utofauti au usawa wa points ila utofauti wa ufaulu.

Na kwanini mabadiliko haya yaje, kwa manufaa ya nani baada ya Bunge kukataa upuuzi huu???

SHULE YA SEKONDARI WIGAMBA YA MBEYA MJINI- ENEO LA ISANGA- MFANO WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

No. ya Mtahiniwa, Points. Division
S3133/0088 45 IV
S3133/0082 45 0
S3133/0092 42----------------- 0
S3133/0095 43----------------- 0
S3133/0099 44-----------------0
S3133/0100 42------------------IV
S3133/0101 43------------------IV
S3133/0103 44------------------IV

SHULE NYINGINE YA JINA LA MH. NCHIMBI
-------------------------------------------------------------------------------------------------

DR. NCHIMBI SEC. SCHOOL

S1877/0001 43--------------------IV
S1877/0003 43-------------------IV
S1877/0006 46-------------------IV
S1877/0007 46-------------------IV
S1877/0028 44------------------IV
S1877/0037 45------------------0

Ndugu Watanzania wenzangu, mimi naona haya ni maafa kuliko UKIMWI, NA TSUNAMI ukilinganisha na anguko hili.

Tujiulize, na tutafakari kwa ufasaha kisha tutumie busara kusaidia Taifa letu kwani linatufia kutokana na kuwafumbia macho mafisadi wakichakachua matokeo ya uchaguzi, hadi matokeo ya elimu za ndugu zetu ambao sasa wengine wanajichoma visu, na hata kujitia vitanzi kutokana na mafisadi wachache wanaotesa Taifa letu.

MASWALI,,??

Ni kigezo kipi kimetumika kuchukua mfumo huu wa kupanga matokeo??
Mfumo huu umekuwa bora wapi, na katika nchi ipi iliyoendelea??
Je, utafiti gani ulifanyika ukaridhisha kuwa mtindo huu wa kupanga matokeo utakuwa na tija kwa taifa kuliko uliokuwepo awali?
Kama utafiti ulifanywa, nani alifanya na matokeo yake yaliripotiwa kwa nani?
Je, bunge la Jamhuri lilihusishwa na kuidhinisha utaratibu huu??

CCM INATUMALIZA KABISA, KABISA,,,!!! MUNGU ATUSAIDIE ILA NI MUHIMU SANA SOTE TUSHIRIKI KULETA MABADILIKO NCHINI PETU.

------------------------------------------------------------------------------------------------------
ONA MATOKEO YA WANAFUNZI HAO NILIOWATOLEA MFANO KWA UNDANI UKIFUATA NAMBA ZAO UONE UFAULU WA KILA MMOJA NA POINTS WALIZOPEWA NA UTOFAUTI MA MADARAJA WALIYOPEWA.

Ukitaka kujiridhisha zaidi ingia kwenye tovuti ya NECTA uhakikishe ninachokisema hapa kisha tusaidiane kudai haki.
.................................................. .................................................. .............................

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS
S1877 DR. NCHIMBI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 50 DIV-0 = 77
CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS

S1877/0001 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'D' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S1877/0002 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0003 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0004 F 28 III CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S1877/0005 F 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'B' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F' COMM - 'F' B/KEEPING - 'E'

S1877/0006 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0007 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0008 F 24 II CIV - 'C' HIST - 'B' GEO - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'B' B/MATH - 'E'

S1877/0009 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0010 F 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0011 F 47 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'E' BIO - '

S1877/0028 F 44 IV CIV - 'F' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0037 F 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

--------------------------------------------------------------------------------------------------
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS

S3133 WIGAMBA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 1 DIV-II = 10 DIV-III = 14 DIV-IV = 57 DIV-0 = 34

S3133/0082 M 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0083 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'E' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0084 M 29 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'E'

S3133/0085 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0086 M 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' PHY - 'F' CHEM - 'E' BIO - 'C' B/MATH - 'F'

S3133/0087 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0088 M 45 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0089 M 40 IV CIV - 'D' HIST - 'F' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'E'

S3133/0090 M 29 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S3133/0091 M 34 IV CIV - 'E' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'E' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S3133/0092 M 42 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0093 M 39 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'E' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0094 M 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0095 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0096 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0097 M 26 III CIV - 'C' HIST - 'E' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'B' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'B'

S3133/0098 M 32 IV CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'C'

S3133/0099 M 44 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0100 M 42 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0101 M 43 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0102 M 37 IV CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'

S3133/0103 M 44 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0104 M 39 IV CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'​
 
Hivi hawa baraza la mitihan (NECTA) wametuona sisi watanzania ni wajinga kiasi cha kwamba wanatuganya waziwazi namna hii!

Yaana wanadriki kutuambia asilimia ya ufaulu umeongezeka kwa asilimia 15.kwa kulinganisha na ufaulu upi?

Ina maana ufaulu wa sasa wa mwanafunzi kuwa na DIV -IV -42 ndo wanataka waulinganishe na ule wa mwaka jana ambapo mwenye div -iv-34 ilikuwa ni ziro?

Na kama A ya mwaka jana ilianzia na 81 ndo wame compare na A ya kuanzia 71!?

Sasa kama ni hivyo basi watangaze sis tuliosoma miaka ya nyuma turudishe vyeti vibadilshwe kwendana na ufaulu wa sasa.

da mwanangu umetoa point kubwa sana
 
Kawambwa ameiua kabisa Elimu kama alivyoliua shirika la reli. Siamini kama haya ninayoyaangalia ni matokeo ya nchi yangu Tanzania ninayoipenda kwa moyo wote

Ndio ubaya wa kuingiza siasa ktk maswala ya taaluma.Tumekwisha.
 
Hata ujasiri wa kusema weka picha umeisha. Kwakweli hili ni janga takatifu.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mkuu,mwenyewe nimepitia hiyo tovuti inasikitisha Sana.

Kuna shule mfano MANYUNYU SEC S0271 nimechoka mwili na roho.

Nawasubiria wahusika waropoke ili nipime hoja zao then nitaanzja hapo.
 
Kwanza nakupongeza kwa umakini wako Mkuu, umefanya auditing nzuri sana. Kwa ujumla hali hii haiwezi kukubalika kwani hakuna haki ambayo imetendeka hapa kwanini aliyepata POINT 45 awe na 0 na yule wa VI awe na IV.

Huu ni ukikwaji wa Katiba na kama tungepata waandishi wa habari wazuri wangeanza kufuatilia hili. Nijambo muhimu sana tunataka haki itendeke.
 
Hii ni aibu kwa taifa hao waliosahihisha hiyo mitihani labda walikua wamecinzia
 
Hii ni aibu kwa taifa hao waliosahihisha hiyo mitihani labda walikua wamecinzia

Walimu wenyewe wa siku hizi majanga tu, hawana lolote, kazi kudai mishahara tu utadhani wabunge wa bunge la katiba. Lakini kazi hawawezi, bure kabisa hii
 
duh...tanzania ni fuli komedi hata kwenye secta nyeti
 
Good analysis! Ingekuwa ni serikali ya uwajibikaj, basi wangeanza sasa! Elimu ndo moyo na falsafa ya jamii/taifa lakini sisi tumeigeuza kuwa mwanasesere!
 
Hii ni matatizo ya ukimya wa mtanzania, imefika mahali watawala wanatuzarau na kutuona wajinga sana....sasa haya matokeo wanayojipongeza nayo wamemdandanya nani?....hivi hawajajiuliza athali za wanayoyafanya kwa taifa?...kwa akili tu ya kitoto huwezi ukasema eti ufaulu umepanda wakati alama za ufaulu umeshusha....HILI TAIFA TUFIKE MAHALI TUSEME TUMECHOKA...TUACHE HIZI ITIKAFI ZA SIASA PEMBENI....TUNAHITAJI KUIOKOA NCHI YETU...VINGINEVYO TUTAENDELEA KUPATA MADOKTA WABOVU, MAKANDALASI WABOVU...MPAKA WALIMU WABOVU.....NI MIMI NA WEWE NDO TUNAJUKUMU LA KULIKOMBOA TAIFA HILI
 
Kawambwa ameiua kabisa Elimu kama alivyoliua shirika la reli. Siamini kama haya ninayoyaangalia ni matokeo ya nchi yangu Tanzania ninayoipenda kwa moyo wore

chanzo ni mkuu wa kaya
 
Mpaka team ndalichako wote waishe necta,ndo mambo yatakua shwari.
 
Leo nimeanza kuona maajabu ya dunia pale nilipokutana na mambo ya ajabu sana katika matokeo ya kidato cha nne kwa kukuta division 4 ya point 43. Hivi wadau elimu yetu kwanni tunaruhusu wanasiasa waichezee kias hiki?
Hahahaaaaa eti hadi three ya 30 wakati zamani ilikuwa ni 4 so mtu wazamani na waleo nani anaonekana mjinga?
 
kaka wamemtoa madam ndalichako ili project ya big result now iende vizuri. bora madam kakaa pembeni kwa muda.
 
Back
Top Bottom