Unazidi kuonyesha namna ambavyo hujaelewa kinachojadiliwa!We chizi nini unaleta hoja za kitoto alafu usipingwe? Hao jamaa wanashindana na serikali sio wahuni wa mtaani na vibaka, mageti makubwa , cctv , hazitakusaidia kitu Serikali ni kubwa na ina mkono mrefu, njia pekee ni kukimbilia uhamishoni.
🤣🤣Sativa alitekwa na akapigwa Risasi, wahusika mmoja alimtambua na jamaa akaongezwa cheo badala ya kukamatwa, … Hata watekaji wangeonekana kwenye Cctv , polisi wangewakana hawawajui
Sasa unawa- record ili iweje ni kumbukumbu ya maisha yako ukiwa hai duniani? Sema kiongozi unachangamoto kwenye uchakataji kama kuna nyuzi aziungi🤣🤣
Hivi wewe darasani ulikuwa unakuwa wa ngapi?
Kiini cha mada ni tofauti kabisa na unayoyazungunzia wewe halafu ukiambiwa hujaelewa unashupaza shingo.
Nani kazungumzia kuwapeleka hao wahalifu kwenye vyombo vya dola?
Una single digit IQ?
No reform no electionMatukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa.
Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao.
Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana.
Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi.
Wakishamaliza hiyo kazi yao, Polisi [hivi Kiswahili cha polisi ni nini?] Tanzania hukanusha kuwa hawakuwa wao.
kwa kiasi kikubwa polisi hawana ubunifu wowote ule. Wanachoweza ni kutumia nguvu za silaha. Nguvu za mwili hawawezi kuzitumia maana wengi wao hawana hizo nguvu.
Sasa basi, ili kuwa hatua kadhaa mbele yao, nashauri hivi:
Wanaharakati wote waliopo nchini kufunga kamera kwenye makazi na ofisi zao.
Hizi si zama za ujima. Ni zama zama za kidijitali.
Kuna kamera za kila aina siku hizi. Funga kamera ndani ya nyumba kwenye sehemu-mkakati, funga nje ya nyumba, weka ring doorbell camera pia.
Na wala haigharimu hela nyingi. Kama mtu hali yake ya kiuchumi si nzuri, crowdfund. Nenda GoFundMe huko ukachangishe. Ikibidi weka hata sababu ya uongo.
Cha muhimu ni kuchangisha fedha ili upate hela za kujipatia nyenzo za usalama wako.
Sina hakika, ila sidhani kama nyumba ya Mdude ilikuwa imefungwa kamera.
Kama kungekuwa na kamera, ingekuwa ni rahisi sana kujua kama hao walioenda kumteka na kumpiga, ni polisi kweli au la.
Sura zao zingekuwepo kila mahala na wananchi wangeweza kuwatambua ni akina nani.
Polisi wanakanusha si wao kwa sababu wanadhani hakuna picha za hao watu. Ukosefu wa picha unawarahisishia kazi ya kukana kuwa si wao.
Imagine hapo nyumbani kwa Mdude kungekuwepo na kamera halafu zirekodi tukio lote….halafu baada ya polisi kukana, watu wanatoa video iliyozinasa sura na sauti za hao watu.
CHADEMA na wanaharakati wengine ni lazima muwe wabunifu. Ni lazima muwe hatua nyingi mbele dhidi ya serikali na dola zake.
Hakuna ugumu wowote ule kui outsmart serikali ya Tanzania na vyombo vyake vya dola kwa sababu ni vilaza.
Muda wa unyonge ukome sasa. Enough is enough.
🤣.Sasa unawa- record ili iweje ni kumbukumbu ya maisha yako ukiwa hai duniani? Sema kiongozi unachangamoto kwenye uchakataji kama kuna nyuzi aziungi
Kila unaposhindwa kujibu hoja za watu unajiwahi kusema hawajakuelewa. This is childsh, dude. Ulidhani kila atakayechangia post yako atakuwa mtu wa ndiyo mzee?Kumbe hata hujaelewa ni nini nakijadili.
Stay on with your hunter-gatherer no-can do defeatist attitude.
Fact that you’re all dumbasses is not my problem.Kila unaposhindwa kujibu hoja za watu unajiwahi kusema hawajakuelewa. This is childsh, dude. Ulidhani kila atakayechangia post yako atakuwa mtu wa ndiyo mzee?
Ukiona watu wengi hawakuewi, basi ujue wewe ndiye tatizo: Haueleweki.
Naungana nawe Ngosha.Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa.
Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao.
Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana.
Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi.
Wakishamaliza hiyo kazi yao, Polisi [hivi Kiswahili cha polisi ni nini?] Tanzania hukanusha kuwa hawakuwa wao.
kwa kiasi kikubwa polisi hawana ubunifu wowote ule. Wanachoweza ni kutumia nguvu za silaha. Nguvu za mwili hawawezi kuzitumia maana wengi wao hawana hizo nguvu.
Sasa basi, ili kuwa hatua kadhaa mbele yao, nashauri hivi:
Wanaharakati wote waliopo nchini kufunga kamera kwenye makazi na ofisi zao.
Hizi si zama za ujima. Ni zama zama za kidijitali.
Kuna kamera za kila aina siku hizi. Funga kamera ndani ya nyumba kwenye sehemu-mkakati, funga nje ya nyumba, weka ring doorbell camera pia.
Na wala haigharimu hela nyingi. Kama mtu hali yake ya kiuchumi si nzuri, crowdfund. Nenda GoFundMe huko ukachangishe. Ikibidi weka hata sababu ya uongo.
Cha muhimu ni kuchangisha fedha ili upate hela za kujipatia nyenzo za usalama wako.
Sina hakika, ila sidhani kama nyumba ya Mdude ilikuwa imefungwa kamera.
Kama kungekuwa na kamera, ingekuwa ni rahisi sana kujua kama hao walioenda kumteka na kumpiga, ni polisi kweli au la.
Sura zao zingekuwepo kila mahala na wananchi wangeweza kuwatambua ni akina nani.
Polisi wanakanusha si wao kwa sababu wanadhani hakuna picha za hao watu. Ukosefu wa picha unawarahisishia kazi ya kukana kuwa si wao.
Imagine hapo nyumbani kwa Mdude kungekuwepo na kamera halafu zirekodi tukio lote….halafu baada ya polisi kukana, watu wanatoa video iliyozinasa sura na sauti za hao watu.
CHADEMA na wanaharakati wengine ni lazima muwe wabunifu. Ni lazima muwe hatua nyingi mbele dhidi ya serikali na dola zake.
Hakuna ugumu wowote ule kui outsmart serikali ya Tanzania na vyombo vyake vya dola kwa sababu ni vilaza.
Muda wa unyonge ukome sasa. Enough is enough.
Shukran jazilan.Naungana nawe Ngosha.
Binafsi ningekuwa front kama kina mdude na wengineo..Shukran jazilan.
Ifike mahali watu waseme imetosha sasa na waanza kuchukua hatua zilizo unconventional.
Unyonge wa kudumu hapana.
Msukuma ni msukuma tu, hata aishi marekani miaka 50 atabaki kuwa msukuma tu. Na wewe unajiona sasa umeendelea sana kutukana watu na hicho kingereza cha kuokoteza?Fact that you’re all dumbasses is not my problem.
Walioelewa ni wengi mno kushinda wewe na mazumbukuku wenzio.
🤣Msukuma ni msukuma tu, hata aishi marekani miaka 50 atabaki kuwa msukuma tu. Na wewe unajiona sasa umeendelea sana kutukana watu na hicho kingereza cha kuokoteza?
Jibu hoja za watu. Kutukana na kusema hawajakuelewa ni ishara nzuri ya ulimbukeni.
Kwa sababu unawaangusha watani zangu kiukweli ukweli. Unawezaje mtu mzima na akili yako timamu ukawa unarushia watu matusi bila sababu? Huo ni ushamba na ulimbukeni.Mbona uko fixated sana na Usukuma wangu?
Haya endelea na hiyo fixation yako.Kwa sababu unawaangusha watani zangu kiukweli ukweli. Unawezaje mtu mzima na akili yako timamu ukawa unarushia watu matusi bila sababu? Huo ni ushamba na ulimbukeni.
Kuishi marekani kunapaswa kubadilisha exposure yako. Useme na kufanya mambo kama international figure. Achana na huo utoto wa kurusha matusi mitandaoni as if umetoka Mwashagata jana.Sawa ng’wanike?
🖕Kuishi marekani kunapaswa kubadilisha exposure yako. Useme na kufanya mambo kama international figure. Achana na huo utoto wa kurusha matusi mitandaoni as if umetoka Mwashagata jana.
Plus, wewe ni platinum member wa jf, hata kama hukubaliani na alichoandika mtu, tunza heshima ya u-platinum wako.
Bye 👋