Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

Mkifunga camera tutakuja tumevaa BARAKOA.

Ubaya ubwela, hakuna venye mtatukimbia.
 
Mara nyingi matukio hayo yanakuwa planned and executed na TISS agents. Hiyo idara imekuwa ikitumiwa vibaya na watawala. Kwa kifupi, wale ndiyo majambazi rasmi wa Serikali.
Haya matukio ya sasa yule Mange alishayasema kitambo kidogo kipindi anamshambulia Mama. Alisema yatakuja mambo worse zaidi karibu na uchaguzi. Inaonekana aliyempa hizi taarifa alikuwa anajua hii mipango muda tu, na ni mipango iliyopangwa tangu wakati huo. Na hawa wapangaji si wahuni tu wasiojulikana, wasiwafanye Watanzania wajinga.

Lengo ni kurudi madarakani kinguvu?! Mbona kwa hali ilivyo hakukuwa na haja ya yote haya? Fr Kitime na hata huyu Mdude na wengine wengi, haikuwa na haja ya kuwafanyia haya jamani. Mbona uchaguzi tayari ni mwepesi tu kwake? Kujitafutia dhambi kubwa kirahisi rahisi kwa vitu vya kupita tukaviacha hapa hapa duniani.
 
Wakati alipofariki Mzee Kibao, nilisema humu, watauwawa wengi zaidi. Mpaka kufikia uchaguzi. Haya yanaendelea, nilitoa ushauri kila mtu sasa ajilinde mwenyewe.

Maana policcm ndiyo watakufanyia tukio, wanarudi kwa mlango wa nyuma kusema si wao. Je kuna kikundi kisichogusika kinafanya kinavyotaka?

Basi kama haya yote hayafanywi na policcm, kila mtu awe na silaha wakitokea chuma imeisha hii.
Hii strategy imeshafanya kazi wapi, nchi gani?? Wapi watu wakiuliwa na kuteswa ndio wanaogopa na kunyamaza na kuwaacha watawala waendelee tu kutawala bila kuwahoji? Mbona ndio huwa inatia utambi na kuibuka kwa chuki kali ya wananchi dhidi ya watawala? Kwa nini hili hawalioni? Hapa si ndio wataibuka kina Mdude 100!

Jamani inatia hasira hao watu waoratibu haya kuachwa tu wanafanya hivi wanavyofanya. Hii ni strategy ya kishamba na kizamani mno. Hatujifunzi kwa yanayoendelea nchi zingine??
 
Nina siku kama 2 sijaingia humu, vipi the united republic of gangster ya sa 100, hawajateka, shambulia ama kuua mtanzania yeyote mwengine?
 
Fact that you’re all dumbasses is not my problem.

Walioelewa ni wengi mno kushinda wewe na mazumbukuku wenzio.
We una shida sehemu , hujiamini kila anayekupinga unakimbilia kwenye uelewa wake hii inadhihirisha una hilo tatizo na linakusumbua sana jikubali Mzee
 
Kuishi marekani kunapaswa kubadilisha exposure yako. Useme na kufanya mambo kama international figure. Achana na huo utoto wa kurusha matusi mitandaoni as if umetoka Mwashagata jana.
Plus, wewe ni platinum member wa jf, hata kama hukubaliani na alichoandika mtu, tunza heshima ya u-platinum wako.
Bye đź‘‹
Kumbe unamjua ? Mi namuona f&la tu bichwa boga .
 
Back
Top Bottom