Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Yaani wewe unajua halafu Polisi hawajui!? Ahahahahaha!!!Wewe ndo sijui ni wa wapi!
Kuna kamera za kila aina siku hizi.
Kuna kamera ndogo ambazo hata hazionekani kirahisi kwa macho ya kawaida.
Wewe utakuwa ni mshamba sana. Umezaliwa na kukulia wapi wewe?
Kuna kamera zinazo blend in na mazingira/ rangi ya eneo.
Ingia hata Google ufute ujinga ulionao. Unaweza pia kuingia YouTube, kama una hata salio la kutosha.