Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Yah great solution!!Hata wao makazi Yao hayana CCTV camera ifike mahali wakigusa tunaenda kwao..
Yah great solution!!Hata wao makazi Yao hayana CCTV camera ifike mahali wakigusa tunaenda kwao..
Kuna bodycam pia.Soon itakuja sheria kudhibiti matumizi ya camera za usalama majumbani kama ilivyoletwa kwenye drones!
Mpaka kibali cha mamlaka na leseni ulipie kila mwaka hivyo watajua kabla hawajakufuata,kama umeweka wanakuvizia barabarani kama yule kada wa CCM kule Mwanza mwenye CCTV nyumbani kakamatwa barabarani akitoka jogging.
💯% correctDiaspora kazi yao ni kushauri kisha wala vumbi muingie field kutekeleza.
Mdude angechanganya na zake diaspora wasingemponza.
Diaspora wanakujza hasira unaingia kupambana na dola unapoteza uhai wako wao wanarudi mitandaoni kuonesha wamesikitika sana.
Hiyo ndio dawa na suluhisho kuu, Tena sio tu kwa polisi bali hata kwa watoto na ndugu wa karibu wa viongozi wenye muelekeo wa huo uchafuzi bila kujali huyo kiongozi kafanya au hajafanya huo uhalifu, jambo la msingi Kila mtu aonje maumivu kwa nafasi yake.Hata wao makazi Yao hayana CCTV camera ifike mahali wakigusa tunaenda kwao..
Hapo kwenye camera wataumbuka, wakianza kugonga mlango wakijitambulisha wao ni polisi camera zitawamulika, kama wakija wameziba nyuso kukwepa kurekodiwa na camera hapo tayari ni majambazi hao na una haki ya kulala nao mbele kwa mbele..Soon itakuja sheria kudhibiti matumizi ya camera za usalama majumbani kama ilivyoletwa kwenye drones!
Mpaka kibali cha mamlaka na leseni ulipie kila mwaka hivyo watajua kabla hawajakufuata,kama umeweka wanakuvizia barabarani kama yule kada wa CCM kule Mwanza mwenye CCTV nyumbani kakamatwa barabarani akitoka jogging.
Solution ambayo inatakiwa isemwe sana /iongelewe sana hasa mitandaoni watu waisikie na Kila mmoja aifanyie kazi mtaani kwake na Kwa namna yakeYah great solution!!
Ni kuweka fence ya umeme wapigwe shotiHata wao makazi Yao hayana CCTV camera ifike mahali wakigusa tunaenda kwao..
MungikiIna maana pia kuna kukundi
Kipo kinafanya kazi za uhalifu
Hata polisi wenyewe hawakujuwi/au hawana nguvu ya kukiingilia!
Kwa style hiyo huo ndiyo mwanZo
Wa watu nao wataanzisha vikundu vyao vya kujilinda mwishowe nchi itakuwa kama Mexico au haiti
Ova
Gusa kwa ulie muona...samaki mmoja akioza sio wote wameoza...ndani ya polisi kuna raia weka pia...!Hata wao makazi Yao hayana CCTV camera ifike mahali wakigusa tunaenda kwao..
Ni kudeal nao kimtaa mtaa tena wengi ni walevi na hawaishi Kwa tahadhari yoyote.
Wewe ndo sijui ni wa wapi!Kuwepo na kamera halafu waje Polisi kweli wasijue kuwa kina kamera? Wewe sijui wa wapi!!!