Tulipofikia,tunahitaji zaidi ya camera,
Juzi tu hapa askari wamerekodiwa tena siyo sura tu mchana kweupe wakikamata watu Kisutu mahakamani na baadae watu hao walokamatwa wameokotwa wamevunjwa viungo na kutelekezwa.
Polisi imekanusha kuwakamata watu hao na waziri kapiga siasa tu na maisha yanaendelea kama hakuna kilichotokea.
Hizo sauti na sura ukirekodi unazipeleka wapi?
Naona hujanielewa kabisa.
Nianze na hiyo sentensi yako ya mwisho.
Sura na sauti nazipeleka kwa umma.
Tuseme mimi ndiye mhanga. Siendi polisi. Nikafanye nini huko ilhali wao ndiyo wahalifu?
Mimi ni mwanaume. Napambana na hali zangu mwenyewe.
Nikishajua ni nani na nani ndiyo walishiriki kunifanyia uhalifu, then it’s on. Tutakutana kitaa.
Na hicho ndicho ninachowahimiza wote wanaofanyiwa uhalifu na wasiopenda uonevu.
Ifike wakati wananchi waache kuwa wanyonge. Wakatae kuonewa.
Hao waonevu wanaishi humu humu uraiani.
Sauti na sura zao zikishajulikana kwa umma, umma uchukue hatua.
Wewe naona bado una mindset ya kutegemea polisi.
Nimetoa ideas kwamba kwa vile hao wahalifu wanaishi uraiani, basi wakishajulikana, all bets are off.
Sasa ukiwa na taarifa sahihi kama za sauti na sura, inasaidia kufanya maamuzi magumu.
Hao ambao wamevunjwa miguu na polisi ambao wanajulikana halafu hao polisi bado wanalala kwa amani, shida iko kwa hao waliopigwa.
Mimi hunigusi halafu urudi nyumbani kwako ulale kwa amani. I will hunt you down and f you up.
Na hicho ndicho ujumbe wangu, kwamba, sasa wananchi nao waanze kuwasaka hao wahalifu wanaojiita ni mapolisi.
Muda wa unyonge uishe sasa.
Eti unauliza sauti na sura utazipeleka wapi? 🤣
Mindset ya kichovu kabisa hiyo.
Sura na sauti unazipeleka kwa umma wakusaidie kuwatambua hao wahalifu ili wasakwe washikishwe adabu.