Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

Sativa alitekwa na akapigwa Risasi, wahusika mmoja alimtambua na jamaa akaongezwa cheo badala ya kukamatwa, … Hata watekaji wangeonekana kwenye Cctv , polisi wangewakana hawawajui
 
We chizi nini unaleta hoja za kitoto alafu usipingwe? Hao jamaa wanashindana na serikali sio wahuni wa mtaani na vibaka, mageti makubwa , cctv , hazitakusaidia kitu Serikali ni kubwa na ina mkono mrefu, njia pekee ni kukimbilia uhamishoni.
Unazidi kuonyesha namna ambavyo hujaelewa kinachojadiliwa!

🤣.
 
Sativa alitekwa na akapigwa Risasi, wahusika mmoja alimtambua na jamaa akaongezwa cheo badala ya kukamatwa, … Hata watekaji wangeonekana kwenye Cctv , polisi wangewakana hawawajui
🤣🤣

Hivi wewe darasani ulikuwa unakuwa wa ngapi?

Kiini cha mada ni tofauti kabisa na unayoyazungunzia wewe halafu ukiambiwa hujaelewa unashupaza shingo.

Nani kazungumzia kuwapeleka hao wahalifu kwenye vyombo vya dola?

Una single digit IQ?
 
Sasa unawa- record ili iweje ni kumbukumbu ya maisha yako ukiwa hai duniani? Sema kiongozi unachangamoto kwenye uchakataji kama kuna nyuzi aziungi
 
No reform no election
 
Ili uwe critic mzuri uku Ulimwengu wa tatu, Uwe Nje ya Nchi tu aisee harakati afu unaishi Bongo umu tena Bwinde uko hio utadakwa tu,
Ukiangalia hata Pages nyingi za harakati Twitter majority ya owners wapo abroad na bado wana maintain anonymity, Ivo Mtu kama mdude kwa zile alarm na Redflag ilipaswa mapema tu aombe Hifadhi la Kisiasa (Political asylum) akishakuwa granted ndo afanye izo Heavy movement vingenevyo ni too risk Kwasbabu dola nayo ina Macho ya Kuona mbali sana
 
Sasa unawa- record ili iweje ni kumbukumbu ya maisha yako ukiwa hai duniani? Sema kiongozi unachangamoto kwenye uchakataji kama kuna nyuzi aziungi
🤣.

Mtu usiye na uwezo wa kuandika Kiswahili kwa usahihi sitegemei uwe una uwezo wa kusoma na kuelewa ulichokisoma.

Deuces ✌️.
 
Kumbe hata hujaelewa ni nini nakijadili.

Stay on with your hunter-gatherer no-can do defeatist attitude.
Kila unaposhindwa kujibu hoja za watu unajiwahi kusema hawajakuelewa. This is childsh, dude. Ulidhani kila atakayechangia post yako atakuwa mtu wa ndiyo mzee?
Ukiona watu wengi hawakuewi, basi ujue wewe ndiye tatizo: Haueleweki.
 
Fact that you’re all dumbasses is not my problem.

Walioelewa ni wengi mno kushinda wewe na mazumbukuku wenzio.
 
Naungana nawe Ngosha.
 
Shukran jazilan.

Ifike mahali watu waseme imetosha sasa na waanza kuchukua hatua zilizo unconventional.

Unyonge wa kudumu hapana.
Binafsi ningekuwa front kama kina mdude na wengineo..
Tadhahari kama hizi lazima ningekuwa nazo
Utakuta huu ushauri mtu anaupinga alafu keyboard warrior
 
Fact that you’re all dumbasses is not my problem.

Walioelewa ni wengi mno kushinda wewe na mazumbukuku wenzio.
Msukuma ni msukuma tu, hata aishi marekani miaka 50 atabaki kuwa msukuma tu. Na wewe unajiona sasa umeendelea sana kutukana watu na hicho kingereza cha kuokoteza?
Jibu hoja za watu. Kutukana na kusema hawajakuelewa ni ishara nzuri ya ulimbukeni.
 
🤣

Mbona uko fixated sana na Usukuma wangu? Una bwana Msukuma aliyekuacha?

Watu zaidi ya 80 wamegonga ‘likes’.

Maana yake ni kwamba wameelewa nilichokiandika.

Mkitokea vilaza wawili watatu ambao hamjaelewa, sikosi usingizi.

Haya rudi umbembeleze Msukuma wako huko 🤣🤣.
 
Kwa sababu unawaangusha watani zangu kiukweli ukweli. Unawezaje mtu mzima na akili yako timamu ukawa unarushia watu matusi bila sababu? Huo ni ushamba na ulimbukeni.
Haya endelea na hiyo fixation yako.

Msukuma wako akikuchumbia usiache kunitumia kadi ya mwaliko.

Sawa ng’wanike?
 
Sawa ng’wanike?
Kuishi marekani kunapaswa kubadilisha exposure yako. Useme na kufanya mambo kama international figure. Achana na huo utoto wa kurusha matusi mitandaoni as if umetoka Mwashagata jana.
Plus, wewe ni platinum member wa jf, hata kama hukubaliani na alichoandika mtu, tunza heshima ya u-platinum wako.
Bye 👋
 
🖕
 
Kuna matukio amewahi kufanyika peupe kama kuvamia kituo cha habari na kipindi anavamiwa Nape bado wavamizi wanaendelea kula bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…