Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

Kuongoza?Sasa ulitaka waongoze Waamerika?Unaongoza huku umeharibiwa kila kitu?Siyo ujinga huo?Mmarekani ni muharibifu.Kaharibu na kuondoka.Kwisha!
Sasa mbona mnaumia sana kinachofanyika Ukraine?? Au ndio ule msemo usemao mkuki kwa nguruwe....
 
Kuna vinchi viwili duniani OTAN hawawez kuingia kichwa kichwa, north korea na russia, sahau kabisa hawa watu kuguswa hovyo
 
Mbona ufurahii anachokifanya Russia Ukraine?? Maana hakuna tofauti na na walichokifanya NATO Iraq na afghanistan
Sasa Urusi analingana na USA kwa lipi?Urusi anatafutwa kimtindo kama Iraq alivyovamia Kuwait miaka hiyo(ya 1990's).Atajaa tu.Labda ashtukie mchezo.
 
Knachoshangaza yakitokea matokeo wanaitana kcchunguza wote.tusipotumia akili watatuumiza akioi sana wazungu.
 
Urusi alikua wa kwanza kuwahi na kulialia kwamba anabambakiziwa bomu ili achonganishwe.
Aliyekuwa wa kwanza kuitetea Urusi ni Biden... Tena aliposikia zelensky akisema kombora limetokea Urusi, fasta alinyanyua simu kumuonya anyamaze asije kuwaingiza wanaNATO matatizoni.
Baada ya hapo akapiga tena simu Poland kuwaonya wasiseme kombora limetokea Urusi bali waseme ni mitambo ya Ukraine ya kudungulia makombora ilijivyatua kwa bahati mbaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…