Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

Ulikuwa wapi wakati unasikiliza maongezi hayo ya simu?
 

huyu jamaa anahasira kishenz.
tuliza munkar kijana
 
Na mpaka leo Rais wa Afghanistan ni Biden na Spika wa Bunge la Afghanistan ni Nancy Pelosi.
 
Waongo hata kama ni ya Mrusi hakuna atakaye sogeza pua yake pale.

Mrusi dunia nzima inamuogopa sio Nato tu.

Juzi Biden ndiye alikuwa wa kwanza kusema Ukraine ndio inahusika na tukio hilo, sasa sisi watu baki ndio tujifanye we know better kuliko vyombo vya usalama na kijasusi vya Merikani??

Ushabeki mwingine hauna mantiki hata kidogo - hivi inaingilia akilini kwamba Merikani inaweza kujiingiza kichwa kichwa kwenye vita ya Ukraine kutokana na usanii wa uwenda wazimu wa Zelensky akishirikiana na Rais wa Poland ambao wote wanajulikana sana kwa chuki zao za kupitiliza maelezo kuhusu Taifa la Urusi - wako radhi kufanya lolote ili Urusi iteketee hata ikitokea mchezo wao wa kijinga ukasabanisha a WW3 thermonuclear exchange kati ya US na Russian na huo ukawa ndio mwisho wa Dunia -akili hizo Zelensky na Rais wa Poland hawana kabisa, wapo wapo tu mradi liende.

Bahati nzuri Biden na washauri wake wa karibu hawana akili matope kama za Marais tajwa hapo juu wanao taka Dunia nzima iangamie kutokana na EGOS zao hatarishi na za kishenzi, mchezo wao ungeweza kabisa kuleteleza/sababisha vita kubwa sana Duniani kama NATO wange invoke article5 bila ya kutumia busara.

Licha ya wishful thinking za maadui uchwala wa Taifa la Urusi imekwisha gundurika kwamba Ukraine ndio inahusika moja kwa moja na uvurumishaji wa roketi iliyo sababisha uharibifu nchini Poland, mabaki ya Roketi yanaonyesha imefyatuliwa kutoka kwenye launchers za S-300 air defense systems ambazo jeshi la Ukraine wanazo nyingi tu, lengo la kitendo hicho as I said ni kwamba kwa kuwa member wa NATO (Poland) kashambuliwa na Urusi basi NATO ifanye liwezekanalo ku-fast track invoking article5 to teach Russia a hard lesson - wanao yapanga hayo wanasahau kabisa kwamba Russia is still a thermonuclear Super Power mwenye ways and means ya kuwamaliza wote hao kwa mpigo,like it or not up2U
kumbuka onyo la Elon Musk alilo wambia viongozi wa Merikani na Ulaya nzima kwamba wasiwachezee Warusi - mark you Elon Musk is a scientist and Industrialist hajipendekezi kwa mtu au Taifa lolote, anasema ukweli mtupu kwa manufaa ya Dunia - sasa watakao puuzia onyo lake Mungu awasaidie maanake hawajui walitendalo.

Nawakumbuseni kwa mara nyingine tena kwamba hizi ngojera za eti ku-invoke article 5 ya NATO hiyo ni kwa ajili ya mataifa ambayo ni dhaifu kijeshi (Banana Republics) NATO hawana ubavu wa kutekeleza upuuzi huo kwa Taifa la Urusi, likumbukeni sana hilo.
 

Kwa sasa hivi Urusi imekua useless hata Poland haihitaji NATO, subiri uchunguzi.
 
Unataka kuchanganyikiwa wew nyumbani kwako Ni dodoma milembe
 
Usifananishe Iraq Na Urusi , Mbingu Na Ardhi ,
 
Story haina ukweli ikiwa Biden mwenyewe siku ya kwanza kasema sio Russia sasa wangemuuliza kajuaje
Alisema wapi hivyo?wabongo bana,alisema inawezekana ikawa sio Russia ,lakini sio kusema sio Russia
 

Ni sahihi unacho kisema, lakini kwa bahati mbaya kuna baadhi ya members ni wabishi sana watakuletea adithi za kuchonga tu mradi waiseme vibaya Urusi na Putin in particular - mataifa yanayo jifanya kuijia juu Urusi na kudai uchunguzi ufanyike kwenye vitu ambavyo ni so obvious kabisa hao lengo lao linajulikana, kwa bahati nzuri Rais Biden na washauri wake wenye akili zilizo tulizana, wamekwisha soma mchezo mzima wa Rais wa Poland na Zelensky - NATO hawawezi kujiingiza kwenye vita ya kuchongwa na Marais wasanii wa Poland na Ukraine - US na members wengine wa NATO wenye akili nzuri na msimamo wata wapuuzia tu madai ya Poland na Ukraine na hakuna lolote litakalo fanyika zaidi ya kuitisha vyombo vya habari na kupiga siasa mradi siku iende - ni hilo. NATO wasipo fanya juu chini kumuondoa madarakani Zelensky na kuionya vikali Poland nawambieni siku za usoni jamaa hawa wawili watakuja kusababishia Dunia majanga makubwa zaidi ya kuchonga tu ili mradi waikomoe Russia.
 
Kwanini usiseme masikini marekani ...anatafutiwa kiama na nchi za ulaya ili kumuingiza vitani .....shika huu ukweli usa hana ubavu wowote wa kupigana na urussi amini usiamini
 
Mbona walisema atakayemsaidia atakiona cha Moto. Na watu kibao wanamsaidia na hakuna chochote anachofanya
Kwani huoni chamoto wanacho kipata kati ya urussi na nato ni nchi zipi zilizo teteleka? Wewe huoni Europe ina kufa
 
Alisema wapi hivyo?wabongo bana,alisema inawezekana ikawa sio Russia ,lakini sio kusema sio Russia
unlikely kiswahili ni nini? bomu ndio nimetua katumia neno unlikely kama alikuwa anajuwa kwanini wasifanye uchunguzi kwanza. Jana waziri wa Poland anasema Ukraine na Ukraine wanakataa hapo hapo wanakwambia bado uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…