Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

Mbona walisema atakayemsaidia atakiona cha Moto. Na watu kibao wanamsaidia na hakuna chochote anachofanya
Hivi we una elewa mrusi alicho kuwa anakisema kuna tofauti ya kumsaidia kuingia vita direct na kumpa silaha tena hizo silaha wengine wanamdai sio bure 😂 Alicho wakataza silaha zinazo weza dhuru Urusi direct.

Mbona Mrusi anazipuga hizo silaha za Nato huko Ukraine kwanini wasimkataze akizigusa watamshambulia 😂

Yani hao Nato basi nawao walimukea sunction Mrusi mbona hakuna nchi ya Nato imewavamia hao wanao nunua gas na oil tokea kwa Mrusi.

Hebu wambie basi Nato wamrushie silaha Mrusi au wampe Ukraine silaha zinazo weza piga mji mkuu wa Urusi kama wao wanaume.
 
Bado unaendelea na insha zako.., naona unaumia sana kuona super pawer wa mchongo akichakazwa na kataifa kadogo Tena jirani yake [emoji12][emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Waongo hata kama ni ya Mrusi hakuna atakaye sogeza pua yake pale.

Mrusi dunia nzima inamuogopa sio Nato tu.
Urusu analia kiasi hiki inasikitisha sana, tuliambiwa eti ana uwezo wa kuzima mitambo ya dunia nzima na yake yeye tu ikawa ndo infanya kazi
 
Utopolo tupu!!
 
Poland haitahitaji msaada wa NATO kuigaragaza Urusi, inaipiga mwenyewe.
Nimecheka sana na hizi akili........

Mpaka dunia inairank russia no.2 kijeshi . Think again nini maana yake!..

S.Power unaweza ukamsumbua akija kwako kama US alivyosumbuliwa Uaeabuni na Vietnam sababu hapigani Full war!..

Lakin ukitaka kujua maana ya Superpower jaribu kumvamia ili umgaragaze, halafu naye Aretaliate with full scale!!..... Vizazi vitahadithiana
 
Sisi Warusi tupo tayari kupiga NATO nzima na viunga vyake.
 

Wote tulijua Urusi namba 2, walikua wanaonyesha uwezo mkubwa sana kumbe yote hiyo paper tiger, leo Urusi inafungulia wafungwa wakapigane kisa kainchi kadogo kamezingua balaa.
 
Mbona babu yetu Biden ameanza kuogopa? Anasingizia kombora lilikosewa na vikosi vya Ukraine? Huu ni uoga
 
NATO waungane wakamchape Kiduku anawanyanyasa sana wajapan.

Leo kawashushia mzigo kweye bahari yao
USA ni mandonga tu, North Korea ingekuwa kama Iraq au Libya, supa pawa wa mchongo siku nyingi sana angeshajichukulia maujiko.

Kwa kiduku anaishiaga kufanya mazoezi mbuzi na kubweka tu
 
Wote tulijua Urusi namba 2, walikua wanaonyesha uwezo mkubwa sana kumbe yote hiyo paper tiger, leo Urusi inafungulia wafungwa wakapigane kisa kainchi kadogo kamezingua balaa.
Mlisema akishambulia nchi ya NATO mtaingia mzigoni. Juzikati kapiga Poland. Mbona mnaishia kubishanaa
 
Angalia NATO wanavyokiambiana 🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20221117-173520_Facebook.jpg
    186.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20221117-180730_Facebook.jpg
    312.4 KB · Views: 5
Endelea kujipa moyo huku barafu zinawamaliza hii ndio maana ya "vita baridi"
 

Attachments

  • 20221118_142539.jpg
    334.6 KB · Views: 6
Sasa Urusi analingana na USA kwa lipi?Urusi anatafutwa kimtindo kama Iraq alivyovamia Kuwait miaka hiyo(ya 1990's).Atajaa tu.Labda ashtukie mchezo.
Mrusi ameanza kuvimbiana leo na NATO? Tangu kipindi cha Stalin baada ya ww2 1945 wameanza kuvimbiana na NATO mpaka mwaka tuliyopo 2022 kipindi hicho hata Iraq haizungumziwi na wala haikuwepo dalili hiyo!

Kipi ambacho kinachokupa nguvu ya kuwa huyu waliyeanza naye mgogoro baada ya ww2 (1945) atafutiwe sababu kama ya Iraq na ya Kuwait ya 1990s?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…