Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Hii kitu itakuwa ilipandikizwa na mama yao kama sikosei maana kuna binti mwingine alikuwa anasomea udaktari (RIP Ireen) mtanisamehe kama nimelikosea hilo jina yule mama hakutaka.kabisa kumsikia bahati mbaya alijiua kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe binti. Niliposikia kwa Le Mutuz picha ikajirudi, tuwaombee wapumzike wanapostahili maana aliyetuumba ndiye anayejua zaidi.

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Inafikirisha sana.

Mzee kafanya kazi nyingi sana toka enzi za Mwalimu. Zile program za vijiji vya ujamaa...uhujumu uchumi...kununua Pajero zilizoleta balaa enzi za Mzee Ruksa toka kwa rafiki yake Rajan....Serikali ya Tanganyika chini ya Mwinyi....na mbio za kuwa Rais baadae.
Mpaka kuishia kujenga chama.

Ila kufiwa na watoto, kunaumiza sana. Pole Mzee Malecela
 
Mtoto wa tano huyu. Senyagwa, Ipyana, Dr Irene, Dr Mwele na William.
 
Kale ka mifupa na baadhi ya watoto wa mzee walimpiga sana vita lemutuz asitambulike kama mtoto wa mzee Malecela, lemutuzi siku zote aliandika kwa uchungu na kila kitu alikiweka wazi.

Lemutuz hakupata upendo wa wazazi wake mpaka alilelewa na baba yake mkubwa.

Alipambana mwenyewe kwenda Us.
Mzee alikuwa akimtambua kama mwanae na ni mtoto wake pekee alomfanana kuliko wote.
Ila mzee kuna nyakati alikuwa akimsaidia tho sio mara nyingi.

Kuna siku zamani sana mzee alimuandikia balozi wa malawi kama sikosei akimuomba amsaidie mwanae lemutuz. Hiyo barua iko insta kwenye pg yake.

Kale ka mifupa siku zote ni kumsema lemutuz sio mtoto wa mzee hapo lemutuz ataleta ushahidi wa vitu ambavyo mzee alimsaidia kama mwanae.

This world sometimes is stupid mtoto anazaliwa bila kosa lolote anateseka anatengwa kwa makosa ya wazazi.

Baada ya mafanikio lemutuz aliamua kujipa. Raha maana hakupata raha yeyote ya familia.
Mkiona anajilia raha mnaanza kupiga kelele mnajua alitoka wapi?
Baadhi ya watu hata humu jf mnatakiwa kusoma ukweli wa lemutuz kwenye pg. That's why aliamua kujipa raha mpaka kifo chake kinamkuta alikuwa anatoka batani.

Nadhani kale ka mifupa kameona jana baba yake alivyo muita lemutuz mwanae.

Tujifunze kutoka kwa lemutuz, kamwe wamama usizae na mtu ambae hataki kuzaa na wewe. Mtoto ataishi maisha ya shida sana.

Rip king.
 
Mkuu unauliza jibu hujui Jana serikali ilikosa mamilion mangapi toka Kariakoo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Jana Naibu Spika Zungu alikuwepo, na akaondoka mara moja Kwenda kwenye mgomo Kariakoo, kumwahi Waziri Mkuu.
RC Makala, hakuonekana kabisa, ndio alikuwa amebeba bango la serikali Kariakoo, usiku ktumbuliwa na nusu kupelekwa kusikojulikana-Mwanza.
 
Lakini huo sio mpango wa Mungu.

Ukiona hivyo ,ujue Kuna kitu mahali hakipo sawa
 
Umenena!
 
Kuna binti mwingine Visiwani, ukimuona wala huna hata haja ya kuuliza, Niliwahi kuishi naye jirani siku mke wangu aliponiambia kuwa yule binti wa Mzee Malecela wala sikushtuka maana maana ni kama baba kama mtoto.
 
Katika Watoto wake wote aliopoteza,aliyewahi kunisikitisha ni yule Mwanasayansi Dr Mweli Malechela..

Aisee very sad kumbe unaweza zaa na ukazika wote ukabakia mwenyewe tuu unateseka uzesni.
 
Duh na watamalizana wote bado na wale watoto wa mama Yao mdogo wa nje, na inakuwaje unagombania Mali za mzazi si utafte zake. Na wasiwasi na huyu mke mdogo kumaliza watoto halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…