Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani.

Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya kufanya kazi moja. Wana mishahara na posho juu lakini hawaridhiki.

Ukimpa zawadi ya kiatu cha 40k tu anaanza kukuuliza kwahiyo weekend twende wapi? Mwanamke mwenye pesa ndiye anayeongoza kupenda pesa.

Mliowafungulia biashara wake zenu wateja tukiwapa misimbazi 2 tu kwa mfululizo mara 3 anakusahau wewe mume uliyempa mtaji wa million 5.

Nini cha kufanya?

Hakikisha mke wako anapata mahitaji yake yote muhimu ila asiizoee pesa. Kuchapiwa inauma, ni kama mmeliwa wote hivi.

La kuongezea, Psychological mwanamke humpenda na kumtamani mwanaume anayemwona mara kwa mara, Sasa wewe mke wako kuanzia saa 1 na susu asubuhi mpaka saa kumi anamwona John tu mhasibu mwenzake ofisini unategemea John atamwacha salama?
 
Sasa nini cha kufanya unashauri tuwape mahitaji wakati huo huo unasema wanaopata pesa ndo wenye tamaa zaidi ...

Yaani unakiri hata wapewe nini tamaa haitawaisha halafu bado unashauri tuwape mahitaji zaidi...

Mimi nafikiri sio wote wanaosema wameolewa huko maofisini wako "happily married".

Wengine ndoa zina matatizo mengi hawawezi kusema.

Wanatafuta nafuu popote.

Wewe unaona kama "wanachepuka" kumbe wengine ndoa zilishakufa ...Ila wako kiimya
 
Huwezi mzuia mwanamke asifanye yake.. Kwanza si wanawake woote wenye tabia hiyo ila nakiri wapo wenye tabia hiyo, hao ni wale wenye tamaa, wanaponzeka mnoo.

Hata wa nyumbani wenye tamaa wanatafunika kizembe mnoo na wauza chips, wauza genge, madereva na makonda wa daladala, wauza bucha, wauza mkaa, bodaboda etc, yani wao kitonga kidoogo tu wanalika.

Mwanamke analiwa kwa chipsi yai moja tu.. 😂🤣

Ukitaka amani ishi maisha yako enjoy muda wako
 
Nini cha kufanya?
Focus, Mwanaume unatakiwa uyajue ya kuzingatia, ili uachane na yasiyokuhusu.

Pambania future yako, weka maisha yako katika hali nzuri kwa ajili ya uzee wako.

Mambo ya Wanawake wachepukaji, waachie wenyewe watumie nyuchi zao wanavyotaka. Hasara ni kwa wazazi wao na sio kwako.

Be a Man.
 
Na sis waha tunawala sana wake zenu wa nyumbani wakishindwa kurejesha pesa kwa wakati tunapewa full food Chai,lunch kasoro dina maana utakua usharudi...

Nishawahi kufanya kazi ya kutembeza miko zanzibar hakika niliwala sana mashangazi wenye ushungi wakisikia napita mikooo,mikooo lazima waniite huku wana madera tu bila chupi tena nyumba zao nyingi zina ukuta yaani unakula kitu njeee ya geti anakuwekea kwa njee yy yupo kwa ndani......
 
Back
Top Bottom