Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani.
Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya kufanya kazi moja. Wana mishahara na posho juu lakini hawaridhiki.
Ukimpa zawadi ya kiatu cha 40k tu anaanza kukuuliza kwahiyo weekend twende wapi? Mwanamke mwenye pesa ndiye anayeongoza kupenda pesa.
Mliowafungulia biashara wake zenu wateja tukiwapa misimbazi 2 tu kwa mfululizo mara 3 anakusahau wewe mume uliyempa mtaji wa million 5.
Nini cha kufanya?
Hakikisha mke wako anapata mahitaji yake yote muhimu ila asiizoee pesa. Kuchapiwa inauma, ni kama mmeliwa wote hivi.
La kuongezea, Psychological mwanamke humpenda na kumtamani mwanaume anayemwona mara kwa mara, Sasa wewe mke wako kuanzia saa 1 na susu asubuhi mpaka saa kumi anamwona John tu mhasibu mwenzake ofisini unategemea John atamwacha salama?