Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Halmashauri wanatombana sana Daah! Noma kuna mkurugenzi kamla madam ili amfanyie categorizationYaani ukiwa mfano unadai hela fulani let’s say ni stahiki yako kabisa kisheria, mweka hazina anayo mamlaka ya kusema hela kwenye hicho kifungu haipo wakati kwenye bajeti ipo maana yake ujiongeze ugongwe ili upate hiyo hela, yaani kwa ufupi halmashauri zimejaa uchafu na wajinga wengi hasa idara ya fedha ni miungu watu na ndiyo wanaokwamisha hasa maendeleo
Maana wao ni kuiba kwenda mbele. Wakute hao idara ya fedha wapo kama wajinga ila wanahela kuzidi hao wa TRA, na hawajioneshi ila aseti walizonazo balaa
Hoja Imeungwa Mkono....nawasilisha
Hoja Imeungwa Mkono....nawasilisha
Mtu anapoajiriwa sehemu fulani anakuwa amejitoa kufanya kazi na nguvu na muda wake vinaelekezwa kwenye kazi. Mategemeo ni kuwa atapata kipato cha kutosha kuendesha maisha yake yaani kipato kinachotosha kwenye "basic needs zake" kwa ngazi yake. Lakini mara nyingi mambo hayako hivyo hasa katika nchi zetu. Katika nchi zetu kipata kinakaribia (note the word kinakaribia) kutosha basic kwa watu wa ngazi za juu. Siyo rahisi mtu kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Huwezi ukawa mtumishi full time na mfanya biashara full time. Pia haiwezekani TZ kila mtu akawa mfanya biashara. Tukiwa wote wafanya biashara wanunuzi watakuwa wake na nani. Hata kwenye nchi za wenzetu, majority ya watu ni wafanya kazi wa sekta mbalimbali. Wachache ni wafanya biashara. Ebu fikiria ofisi zote za halmashauri kila mtu ni mfanya biashara/mkulima. Wakiwa kwenye biashara huduma atatoa nani? Pia nimesoma watu wengi wakiongelea kupata kazi zenye maslahi kama vile uwezekano au urahisi wa kupata pesa za kuiba, kuhongwa, au illegal earnings. Kila mtu akilenga kupata kazi palipo rahisi kuiba tutajenga taifa gani? Inabidi tukazanie maboroshe ya mishahara kuliko hizi ndoto za kupata pesa kimkato. Mimi huwa nawashangaa wanaoponda walimu. Ni kweli mimi nilichukia saana ualimu. Nilipokuwa secondary na high school sikutaka kusikia kitu ualimu. Nilipoenda chuo nilichukuwa fani nyingine na baada kupata digrii niliajiriwa na wizara idara fulani. Kufika huko tulikuwa vijana sita, idara ilikuwa haina mtumishi wa diploma au digrii. Hapo idarani tulikaa muda mfupi wote tukaondolewa kwenda chuo cha idara kufundisha, cha ajabu tangu wakati huo sijawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya kufundisha! Baadaye niliipenda hii kazi kwa sababu marupurupu yake halali unajitafutia (research projects & consulting) unajitafutia mwenyewe na zinalipa kuliko kungoja mwanya wa kukwanguwa (kuiba) na ukishikwa. unaozea jela.Ni mtumishi asiyejitambua pekee anaweza kutegemea mshahara kama chanzo chake cha mapato bila kubuni vyanzo vingine.
Halmashauri ikiwa mjini au kijijini bado kuna fursa kibao.
Watu wa Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa huwa wanatamani wafanye kazi Halmashauri kwa sababu kuna fursa za kujitanua kibiashara ukilinganisha na kwa RAS.
Mtu anapoajiriwa sehemu fulani anakuwa amejitoa kufanya kazi na nguvu na muda wake vinaelekezwa kwenye kazi. Mategemeo ni kuwa atapata kipato cha kutosha kuendesha maisha yake yaani kipato kinachotosha kwenye "basic needs zake" kwa ngazi yake. Lakini mara nyingi mambo hayako hivyo hasa katika nchi zetu. Katika nchi zetu kipata kinakaribia (note the word kinakaribia) kutosha basic kwa watu wa ngazi za juu. Siyo rahisi mtu kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Huwezi ukawa mtumishi full time na mfanya biashara full time. Pia haiwezekani TZ kila mtu akawa mfanya biashara. Tukiwa wote wafanya biashara wanunuzi watakuwa wake na nani. Hata kwenye nchi za wenzetu, majority ya watu ni wafanya kazi wa sekta mbalimbali. Wachache ni wafanya biashara. Ebu fikiria ofisi zote za halmashauri kila mtu ni mfanya biashara/mkulima. Wakiwa kwenye biashara huduma atatoa nani? Pia nimesoma watu wengi wakiongelea kupata kazi zenye maslahi kama vile uwezekano au urahisi wa kupata pesa za kuiba, kuhongwa, au illegal earnings. Kila mtu akilenga kupata kazi palipo rahisi kuiba tutajenga taifa gani? Inabidi tukazanie maboroshe ya mishahara kuliko hizi ndoto za kupata pesa kimkato. Mimi huwa nawashangaa wanaoponda walimu. Ni kweli mimi nilichukia saana ualimu. Nilipokuwa secondary na high school sikutaka kusikia kitu ualimu. Nilipoenda chuo nilichukuwa fani nyingine na baada kupata digrii niliajiriwa na wizara idara fulani. Kufika huko tulikuwa vijana sita, idara ilikuwa haina mtumishi wa diploma au digrii. Hapo idarani tulikaa muda mfupi wote tukaondolewa kwenda chuo cha idara kufundisha, cha ajabu tangu wakati huo sijawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya kufundisha! Baadaye niliipenda hii kazi kwa sababu marupurupu yake halali unajitafutia (research projects & consulting) unajitafutia mwenyewe na zinalipa kuliko kungoja mwanya wa kukwanguwa (kuiba) na ukishikwa. unaozea jela.
Abadili aende huo uafisa usafiri bila kujiuliza mara mbili
Wewe unaingia kazini saa mbili hadi saa kumi au kumi na moja, muda wa kazi ya ziada/biashara utaupata wapi? Labda utafute/ukope mtaji utafute atakaye simamia mradi. Swali langu jingine, je kila mtu mfanyakazi akiingia kwenye biashara wanunuzi ni wake na nani. Ndiyo maana hadi sasakuna wachache wanafanya biashara na wengi wanategemea kazi. Mimi nategemea kazi!Kwa hiyo mtu aache kufanya kazi ya ziada kuongeza kipato kwa kuwa kuna watu wengine wa kufanya hiyo kazi?
Hoja hapa siyo mgawanyo wa kazi ila ni kipato cha mfanyakazi.
Watu wanajaribu kutafuta financial feeedom na siyo division of labour.
Sawa akili yako imeishia hapoWewe unaingia kazini saa mbili hadi saa kumi au kumi na moja, muda wa kazi ya ziada/biashara utaupata wapi? Labda utafute/ukope mtaji utafute atakaye simamia mradi. Swali langu jingine, je kila mtu mfanyakazi akiingia kwenye biashara wanunuzi ni wake na nani. Ndiyo maana hadi sasakuna wachache wanafanya biashara na wengi wanategemea kazi. Mimi nategemea kazi!
Wengi wanapambana kuhamia utendaji wa kata ili wake rushwa
Achana na hili braza.Mimi nategemea kazi!
Kutamani vya juu ndio huongeza hari ya kutafuta mafanikio zaidi.Acheni kulialia. Sisi tunaofanya biashara tunakutana na machungu mengi sana sema tuna ujasiri kuliko makundi mengine. Imagine mimi niliagiza mzigo niuze krismas na mwaka mpya ila nimeupata juzi tarehe 24. Mzigo ulifika tangu tarehe 16 December ila process za Bandari ni mwezi na zaidi. Ishi kulingana na kipato chako. Kama uwezo wako ni kula mlenda acha kutamani kuku choma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh!...[emoji119] Inamaana huelewagi kauli "heri kupata kitu kuliko kukosa kabisa"?
Ubinadamu ni kazi Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mganga wa kienyeji daaah jamn mateso mbona ni mengi dunia imetuchoka auKuna halmashauri ukifanya kazi lazima uwe mganga wa kienyeji
wewe ongea tu kirahisi tu mkuuNi mtumishi asiyejitambua pekee anaweza kutegemea mshahara kama chanzo chake cha mapato bila kubuni vyanzo vingine.
Halmashauri ikiwa mjini au kijijini bado kuna fursa kibao.
Watu wa Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa huwa wanatamani wafanye kazi Halmashauri kwa sababu kuna fursa za kujitanua kibiashara ukilinganisha na kwa RAS.
Kuna za wizara ya elimu pia nahisi ni za vyuo vya kati, ila mshahara umeandikwa hiyo hiyo TGS D (sijui ni shingapi). Kuna madogo wame graduate ualimu mwaka wa nne huu no ajira. Hapo ndo wanategemea pa kuponea, ila kwa kauli yako hiyo naona haponi mtu [emoji2]Kuna kazi za MDA na LGA huko ajira portal ila nikishaona TGS. D nasikia kutapika
halooHalmashauri wanatombana sana Daah! Noma kuna mkurugenzi kamla madam ili afanyiwe categorization
TGS.D haina tofauti na mishahara ya wahindi.Kuna za wizara ya elimu pia nahisi ni za vyuo vya kati, ila mshahara umeandikwa hiyo hiyo TGS D (sijui ni shingapi). Kuna madogo wame graduate ualimu mwaka wa nne huu no ajira. Hapo ndo wanategemea pa kuponea, ila kwa kauli yako hiyo naona haponi mtu [emoji2]
wizara ni TGS D,ila nafuu ipo kuanzia muonekano mpaka uchumi kule semina,vikao,safar kibaooKuna za wizara ya elimu pia nahisi ni za vyuo vya kati, ila mshahara umeandikwa hiyo hiyo TGS D (sijui ni shingapi). Kuna madogo wame graduate ualimu mwaka wa nne huu no ajira. Hapo ndo wanategemea pa kuponea, ila kwa kauli yako hiyo naona haponi mtu [emoji2]
sahihi chiefKutamani vya juu ndio huongeza hari ya kutafuta mafanikio zaidi.
#YNWA
Mshahara wa TGS.D 765,000 kwa gharama za maisha ya sasa ni kama umelipwa posho tu hamna kituTGS.D haina tofauti na mishahara ya wahindi.