GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu tapeli leo amekumbuka katiba na wakati alisema ukiwa na mtu kama Magufuli hakuna haja ya katiba
 
Weka picha
 
Mkuu ukiona kimya kingi ujue Kuna watu nyuma ya pazia huko wanafanya kila liwezekanalo kunusuru hali isiharibike zaidi ya sasa.
Kuna wakubwa huko wanaangalia jinsi ya kuweka sawa "mambo yasiharibike saana" . In JK's voice.
Kimya cha Kinana kinanishangaza sana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…