GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jamani mnaoweza kumpata Polepole naomba mtupe update kinachoendelea huko.
 
Taarifa zinasema amekimbia CUBA kwa kuwa wahuni wameruka ukuta wake na yeye kwa sasa beki hazikabi.
Hiyo michezo ipo Zanzibar mkuu...Kitovu cha usodoma Africa Mashariki na Kati
Kule Binti huwa anapoteza bikra ya nyuma kabla ya kupoteza ya mbele,
 
Wenye mamlaka hawataki Polepole apake kitumbua chao mchanga. Wameziba kila mahali. Labda aende akaongelee huko Marekani lakini asithubutu kurudi Tanzania. Watamuua!
Na kasema yupo Tanzania. Ndio kawachanganya kabisa, na kawavuruga hasa ukiangalia background aliyofanyia Gwajima Press ndio hiyo hiyo na yeye yupo
 
Kwahiyo mnampangia?
Hukuna anayempangia lakini yawezekana. Kuna nia ovu ya kuhamisha mijadala. Mtu kavamiwa saa 5 usiku wewe una press kesho una record video na kuirusha mitandaon. Hii manake una wa waandaa wasikilizaji na kuwaandaa wasiotaka uzungumze.
Hoja ipo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…