Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Labda afanye kama gwaji Boyz🔱🔱🔱Wenye mamlaka hawataki Polepole apake kitumbua chao mchanga. Wameziba kila mahali. Labda aende akaongelee huko Marekani lakini asithubutu kurudi Tanzania. Watamuua!
Tumeshajoin tuone anavyoanza kutubuMkutano wake huu hapa japo haikaanza:-
Ndugu Humphrey H. Polepole is inviting you to a scheduled Zoom meeting.
Topic: Mkutano wa Ndg. Polepole na Wanahabari
Time: Jul 18, 2025 11:00 AM Nairobi
Join Zoom Meeting
Join our Cloud HD Video Meeting
Zoom is the leader in modern enterprise cloud communications.us06web.zoom.us
Meeting ID: 681 880 7495
Passcode: eHe53w
Inasikitisha sana aise.Like serious YouTube haifanyi kazi.
Wenye hizo mamlaka wajichunguze mala mbili mbiliHii nchi hii!
Huyu Polepole wa kusababisha YouTube ikazimwa!?
Seriously!!?
Huyu Polepole ana ukubwa huu, au anakuzwa tu!?
Balozi hawezi hudhuria mafunzo bila serikali yake kujua.Polepole siyo mtu mwepesi kiasi hicho.
Kosa kubwa walifanya kumpeleka Cuba ambako kuna sehemu ya mafunzo ya kijasusi.
Yule mjamaa na kule ndiko ujamaa umeshika hatamu.
Aliye toa wazo apelekwe Cuba alimpigisha shoti boss.
Nafasi zimejaa.....zilikuwa nafasi 500 tu.....wahuni wamejaza zote.Mkutano wake huu hapa japo haikaanza:-
Ndugu Humphrey H. Polepole is inviting you to a scheduled Zoom meeting.
Topic: Mkutano wa Ndg. Polepole na Wanahabari
Time: Jul 18, 2025 11:00 AM Nairobi
Join Zoom Meeting
Join our Cloud HD Video Meeting
Zoom is the leader in modern enterprise cloud communications.us06web.zoom.us
Meeting ID: 681 880 7495
Passcode: eHe53w
Rungu linarushwa kwa internet au mawimbi ya radio?Mafunzo ya kijasusi ukipigwa rungu haliingii
Sawa mkuu.Balozi hawezi hudhuria mafunzo bila serikali yake kujua.
Achana na movies na riwaya. Uhalisia hauko hivyo.
Hata hiyo Zoom haifanyi kazi!Zoom ipi anayoitumia inayoingia watu wachache? Mchawi link na network nzuri tu
Kwani Youtube imezimwa? Basi huko serikalini hatuna watu. Sasa kile kibwengo si kingebwabwaja tu watanzania watachambua ana madhara gani sisimizi yule? Sasa hao washauri wa Rais mbn wataanza kukimbia vivuli vyao? Watazima mpk liniHii nchi hii!
Huyu Polepole wa kusababisha YouTube ikazimwa!?
Seriously!!?
Huyu Polepole ana ukubwa huu, au anakuzwa tu!?
Mkongwe!Wenye hizo mamlaka wajichunguze mala mbili mbili
Wakiriso naoWaislamu bhana 😂😂✔️
uzuri wa huyu ndugu, anawafahamu wahuni wote wa Taifa hili. na kukaa kwake Quba kwa muda bila shaka amejifunza mbinu za kukabiliana na wahuni wa aina zote. Zaidi sana ana Mungu na maombi ya watakatifu nyuma yake. Yuko upande wa haki ambako Mungu hukaa siku zote.Umeona alivyotoa kicheko cha kebehi kwa watekaji? Yule inaonekana ni zaidi ya tumjuavyo
Kuzima internet itakuwa aibu na fedheha kubwa kwa serikali na kumpaisha sisimizi hiloAna drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.
Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Upendo na Amani 🙏Wakiriso nao