GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Acheni kumkweza kila mtu tumieni akili ht kidogo. Dawa ya huyo ni kuvamia hiyo press na kumharibia kisaikolojia
 
Y
Kwani Youtube imezimwa? Basi huko serikalini hatuna watu. Sasa kile kibwengo si kingebwabwaja tu watanzania watachambua ana madhara gani sisimizi yule? Sasa hao washauri wa Rais mbn wataanza kukimbia vivuli vyao? Watazima mpk lini
YouTube haifanyi kazi!
Hii kitu imenishangaza sana!

Sikuwa najua kama Polepole ana ukubwa huu.
Dooooh!!!
 
Balozi hawezi hudhuria mafunzo bila serikali yake kujua.

Achana na movies na riwaya. Uhalisia hauko hivyo.
Hiyo serikali ilikuwa wapi mpaka anaandika yale hawaja muwai na kufanya damage control?
Unafikiri yale ni madogo?
Unafikiri atahudhuria mafunzo wazi wazi kama afisa wa serikali?
Maana ya ujasusi ni nini kama atafanya kwa uwazi hivyo?
Uzingatie ile amefanya ni aina ya uasi.
 
Hii inaelekea saa 6 mkuu tunasubiria kumuona akitubu muda unaishia hivi ilikua saa 5 sasa inakimbilia saa 6 chenga tu hakuna kinachoeleweka
 
YouTube ya Balozi Polepole inasumbua sijui nani kaishikilia
 
Unafikiri kila mtu anatumia youtube kwa ajili ya polepole
Sasa malalamiko ya nini? Au unamlalamikia nani mimi kwani mimi ndio niliekuzimia hio YouTube? Kawaambie walioizima mimi hainihusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…