Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.

Kimsingi, alitakiwa abadilishiwe betri iliyokuwa inamsaidia kusukuma damu, lakini ilishindikana. Betri hiyo aliwekewa enzi mkapa akiwa Rais, aliwekewa ujerumani. Ukichanganya janga la uviko na hofu yake akisafiri mabeberu wanaweza kumfyeka, na uviko ya Katibu Mkuu kiongozi ikamla.

Pia mzee aliamini sana mambo yetu ya jadi, ndio maana alikuwa hakatiki chato ambako alikuwa na chumba maalum, na ilikuwa rahisi kutembea bufukubufuku kwenda ujiji na kurudi asubuhi
100%
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
 
Unaandika nini?
 
Kumbe ndo maana wasaidizi wa karibu wa Magufuli walianza kudondoka mmoja mmoja Daaah
 
Polepole alikuwa mtu wa ndani, alikuwa na access ya kujua ya 'jikoni' zaidi yako chawa mara mia. Kati ya kukuamini wewe chawa wa Bi Urojo na kumuamini Polepole nachagua kumuamini Polepole.
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Acheni hizi mambo; JPM hata kampeni za 2020 hakufanya vizuri, TAL alikuwa akitania kuwa trip shamba trip garage... hata kwenye msiba wa Mkapa, JPM alikuwa too down kule Masasi... the Master was sick na kulikuwa hakuna namna... ni kama hatuamini kama Rais anaweza kufia madarakani.... tukubali tu na tusonge mbele
 
Back
Top Bottom