Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Hivi wewe ulikuwa personal doctor wa Jiwe au ulikuwa nurse wake?
All in all, kwa nini mlimuua hata kama alikuwa mgonjwa?
 
Let's work on credible sourcing tusije kujazana ujinga tu hapa.

Habari ya droplets kuwa sawa na virusi unaitoa wapi? Weka credible source hapa.
Matone huelea, kutokana na sifa ya surface tension ya maji.

Molecules za matone ya maji huwa zinajaribu kupunguza surface area (conserving energy) kwa kutengeneza 'a spherical shape', inayo kumbatia particle. Bila ya hivyo aerosolized particles zisingekuwa zinaelea, long enough, kusababisha uambukizwaji kwa njia ya hewa.
Chanjo iki introduce antibodies, kwa mfano, mwili ukaujua ugonjwa at a particular point, mwili unaweza kupigana na ugonjwa huo vizuri zaidi kwa sababu unakuwa si mgeni.
Hii ndiyo maana halisi ya chanjo
Antibiotics hazina kazi kwenye viral infection. Labda kuondoa fever tu.
Sikuwahi kusema hivyo.
Kwa nini chanjo iwe na 99% na siyo 80% wakati chanjo ni kitu kikichotengenezwa na watu tu, unategemeaje near perfection kutoka kwa watu ambao hawaja perfect medicine?
Mbona chanjo ya surua huwa inafanya kazi to near perfection?
Chanjo zenyewe ziko nyingi tofauti za virusi na subunit, magonjwa yenyewe hatujayaelewa vizuri, na bado yana mutate kila siku, watu wenyewe tuki tofauti wengine wanaumwa sana wengine miili yao tu inaweza ku fight infection vizuri, adjuvants, antibodies doses na boosters.
Kama bado kuna sintofahamu, kwa nini wanalazimisha kuchanja watoto?, Kwa nini kuna sheria ya kuzilinda vaccine companies from liabilities? (The National Childhood Vaccine Injury Act 1986).
Pia kuna masuala kama vaccine safety, ukiwa na vaccine yenye efficacy ya 99% halafu kuzidisha efficacy kunapunguza safety, na kupunguza efficacy kunaongeza vaccine safety. Itataka kuwa na vaccine yenye 99% na kupunguza safety?
Kama safety kwa vaccines ni muhimu, kwa nini kwenye childhood immmunization huwa wanakataa kufanya study ya vaccinated vs unvaccinated children, kuona kama kweli vaccines are safe and effective?
 
Back
Top Bottom