Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Wajibu wa kuthibitisha huwa ni wa mletaji tuhuma. Anayeshitakiwa anapambana na ushahidi uliowasilishwa.
 
ibilisi wa ccm Timu Rostam Aziz wezi wa Rasilimali za Nchi mtambue kuwa mwisho wa Ubaya ni Aibu kubwa, hakuna mabaya yatajificha milele na sasa Ukweli juu ya kifo cha magufuli upo wazi hata Watetezi wa Rostam wajitutumue vipi hawataweza kumsafisha Rostam kwani watanzania wenye Akili Timanu wamejua muuaji ni Rostam Aziz ambaye kwa sasa ndiyo mtesi wa Lisu na chadema kwa ujumla
 
Magufulii alikuwa kwa ugonjwa wa moyo uliochangizwa na maambukizi ya ugonjwa wa korona. Na magufuli alijua kabisa anakufa,ndio maana alitoka ikulu dar akaelekea chato kwa mamake kumuaga, kosa kubwa lililofanyika kutoka kwa watu wa kitengo cha afya ni kumruhusu aendelee kuhudhuria mikutano kote nchini wakati korona imetapakaa, wakati huohuo ana ugonjwa wa moyo,kwa hy ilikuwa rahsi sana kwa yeye kuambukizwa korona. Nakumbuka jamaa alianzia ziara chato,kagera,shy,kahama,tinde,nzega,puge,tabora,singida,dodoma moro kisha akapotelea dar baadae kutangazwa kuwa amefariki. Hatari sana.
Haya nenda kachukue posho kwa Rostam Aziz
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Honestly sipendi Siasa na wanasiasa kwa ujumla ,lakini ningependa kujua hiyo sumu ilipuliziwa targeted na much effective kwa mtu mwenye matatizo ya kiafya kama magu tu! Auu kama sivyo ni wangapi walizokuwa kwenye ile trip wamekufa mpaka Sasa, auu n mechanism ipi ilitumika kubagua kwamba afe magu wengine waishi,. Najaribu kuwaza tu hasa hiyo ya kiwandani
 
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Huyu jamaa naona haisaidii nchi bali ana tengeneza migogoro mikubwa sana, ata sababisha watu uwane kwa chuki ambazo hazina ukweli.
 
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Mbona hukutupa taarifa kabla ya polepole?
 
Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
Kama rostam alitembea na antdote je
 
ibilisi wa ccm Timu Rostam Aziz wezi wa Rasilimali za Nchi mtambue kuwa mwisho wa Ubaya ni Aibu kubwa, hakuna mabaya yatajificha milele na sasa Ukweli juu ya kifo cha magufuli upo wazi hata Watetezi wa Rostam wajitutumue vipi hawataweza kumsafisha Rostam kwani watanzania wenye Akili Timanu wamejua muuaji ni Rostam Aziz ambaye kwa sasa ndiyo mtesi wa Lisu na chadema kwa ujumla
Siyo mtesi wa Lissu tu ni mtesi wa watanzania as a whole . For years amatiweka hapa tulipo na hata kikwete hakwepi haya machingu yetu
 
Wewe mwanae wa kumzaa alisema kuwa alikuwa fit nawe unakuja na soga hizi ama unless una role ya mama Janet otherwise kaa kimya
 
Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
Huyo muungwana anadhani anasomwa na watoto wadogo humu JF.
 
Hata PM alisema ni mzima na anapiga kazi. Kuna mdau akauliza kukosa utulivu ziara ya PM mkoa mmoja wa kusini. Alikuwa anakwenda na kurudi Dodoma badala ya utaratibu wa kawaida wa kumalizia ziara yake.
 
Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
Kama ni kweli mh Rais Magufuli alikufa kwa kuuwawa lazima atakuwa kapewa sumu kwa siri kubwa kupitia mmoja wa wazaidizi wake wa karibu kabisa ambao yeye rais alimwaamini kwa 100%
Kama itakuwa ni covid19 bado kutakuwa na uzembe mkubwa uliofanywa na Madaktari wake, wasaidizi wake na timu nzima inayofanya kazi na rais.
 
Rejea tukio la uzinduzi wa kiwanda morogoro kuhusu matumizi ya microphones 🎤🎙️mnataka codes za aina gani ili mafuvu yenu yakae sawa
 
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Mtatoka mapangoni mmoja baada ya mwingine, shubaamiti!!!
 
Nafahamu kuwa virusi vinakuwa aerosolized, kumbuka maji yana adhesive property hivyo, hizo droplets zinakuwa karibu sawa na ukubwa wa virus particle.

kupunguza kuumwa siyo kazi ya chanjo, hiyo hufanywa na antibiotics. Kazi ya chanjo ni kuzuia kuumwa kama first line of defence.

Huoni huo mtazamo hauna scientific basis, kwa nini chanjo iwe na 80% na siyo 99%. Kwa nini surua waliyochanjwa watoto miaka 50 iliyopita inaendelea kuzuia ugonjwa ila hii ya corona eti inazuia Kwa 80% au 40%, tena Kwa miezi michache?

Let's work on credible sourcing tusije kujazana ujinga tu hapa.

Habari ya droplets kuwa sawa na virusi unaitoa wapi? Weka credible source hapa.

Chanjo iki introduce antibodies, kwa mfano, mwili ukaujua ugonjwa at a particular point, mwili unaweza kupigana na ugonjwa huo vizuri zaidi kwa sababu unakuwa si mgeni.

Antibiotics hazina kazi kwenye viral infection. Labda kuondoa fever tu.

Kwa nini chanjo iwe na 99% na siyo 80% wakati chanjo ni kitu kikichotengenezwa na watu tu, unategemeaje near perfection kutoka kwa watu ambao hawaja perfect medicine? Chanjo zenyewe ziko nyingi tofauti za virusi na subunit, magonjwa yenyewe hatujayaelewa vizuri, na bado yana mutate kila siku, watu wenyewe tuki tofauti wengine wanaumwa sana wengine miili yao tu inaweza ku fight infection vizuri, adjuvants, antibodies doses na boosters.

Pia kuna masuala kama vaccine safety, ukiwa na vaccine yenye efficacy ya 99% halafu kuzidisha efficacy kunapunguza safety, na kupunguza efficacy kunaongeza vaccine safety. Itataka kuwa na vaccine yenye 99% na kupunguza safety?
 
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Wacha kupotosha, maboss wako wanamtandao ndiyo wamemuua Magufuli, ndiyo maana Samia hatumtaki kabisa huku Kanda ya Ziwa kwani naye ana mkono kwenye mauaji hayo
 
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Unayakumbuka maneno ya waziri mkuu..??
 
Back
Top Bottom