Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Ila kwenye bandiko lako la dark days 17 Mach 2021, ulisema sumu iliwekwa kwenye bahasha ambayo kulikuwa na taarifa nyeti na detailed informations ambazo zilihusu ziara ya Museven, na baadae akiwa njiani kuelekea Dar ndipo akaifungua na ndipo tatizo likaanza. Yet, na Sasa unasema sumu ilipulizwa kwenye mtambo alipoenda kuzindua kiwanda Cha Rostam, tuamini taarifa ipi? Au akaunti Yako ilidukuliwa? Naanza kupata mashaka na nyuzi zako sasa
 
Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
Nimeamini @Britanica anatupanga tu, anaokoteza tu stori za vijiweni, Hana logic kabisa
 
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.

Sasa wewe unafikiri mpango huo ni wa siku moja... biashara inakwisha?
 
YAANI KUNA WAKUAJI WA UJINGA😀😀😀

Unabishana na myu aliekuwa kwenye system husika,unaonekana mpumbavu tu
Kuwa kwenye system na kusema ukweli au uongo hakuna uhusiano kabisa, kipindi JPM yupo Mzena tulishuhudia viongozi wengi wakisema jamaa yupo fit ofisini anaendelea namajukumu yake, na mwsho wa siku wote tunawatupia lawama wao Kwa kuficha taarifa za ugonjwa. Kuwa jikoni sip kigezo Cha kusema ukweli, Polepole ana visa vyake tu na uongozi wa sas
 
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au Nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Polepole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Wewe chawa wa Rostam ndiyo unapotosha Uongo upate posho kwa Rostam Aziz tambua kuwa Watanzania wanajua ukweli kuwa wewe Rostam Aziz Genge lenu ndiyo mlimwekea Sumu kali kutoka America ni sumu ilitumika kumuua Rais Hugo Chavez hapa America kusini
 
Kuwa kwenye system na kusema ukweli au uongo hakuna uhusiano kabisa, kipindi JPM yupo Mzena tulishuhudia viongozi wengi wakisema jamaa yupo fit ofisini anaendelea namajukumu yake, na mwsho wa siku wote tunawatupia lawama wao Kwa kuficha taarifa za ugonjwa. Kuwa jikoni sip kigezo Cha kusema ukweli, Polepole ana visa vyake tu na uongozi wa sas
Njaa zako za kusaka posho kwa Rostam Aziz zimekupelekea kujitoa fahamu kuja na mifano ya kipumbavu, Kumbuka huo ucheleweshaji kutoa taarifa ulishinikizwa na wasaidizi wake Timu Rostam ili Daktari aliyetumwa kufanikisha kifo atekeleze matakwa ya watesi genge la Rostam,Polepole hana kisasi yeye kamuogopa mungu ndiyo maana kaamua awaumbue nyinyi mashetani wakubwa
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Upo sahihi kabsa na waleta sumu walitoka America na Daktari wa kufanikisha kifo yupo na polepole atamtaja siku si nyingi
 
Acheni hizi mambo; JPM hata kampeni za 2020 hakufanya vizuri, TAL alikuwa akitania kuwa trip shamba trip garage... hata kwenye msiba wa Mkapa, JPM alikuwa too down kule Masasi... the Master was sick na kulikuwa hakuna namna... ni kama hatuamini kama Rais anaweza kufia madarakani.... tukubali tu na tusonge mbele
Hujuma za Rostam na genge lake zilianza mda mrefu hata mfanye nini Rostam haruki hii laana
 
Ww na yy nani alikua karibu na marehemu?
Tuanzie hapo kwanza.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Jikoni wapi wakati Mkuu wa Majeshi alitaja orodha ya watu wachache waliokuwa wanapata info. Huyo ngombe hata jina lake halijulikani. Full hearsay
Wewe mbweha utakuwa umekula posho ya Rostam kisha umevuta Bangi maana si kwa kujitoa fahamu kiasi hiki
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Aisee sisiemu nyie ni mafia Ninja
 
Na bado, mtazungukana sana wahuni hadi wa mwisho atatoa siri zote.

No reforms no election.

Free Lissu.
polepole kawaumbua genge la Rostam Aziz sasa ibilisi chawa wenye njaa wameenda kuchukua posho kwa Rostam wanajidai kumtetea lakini wenye Akili Timanu wapo na polepole
 
Njaa zako za kusaka posho kwa Rostam Aziz zimekupelekea kujitoa fahamu kuja na mifano ya kipumbavu, Kumbuka huo ucheleweshaji kutoa taarifa ulishinikizwa na wasaidizi wake Timu Rostam ili Daktari aliyetumwa kufanikisha kifo atekeleze matakwa ya watesi genge la Rostam,Polepole hana kisasi yeye kamuogopa mungu ndiyo maana kaamua awaumbue nyinyi mashetani wakubwa
Kumbe unaamini katika kushinikizwa, Sasa ikiwa Majaliwa, Mabeyo, Samia na viongozi wengine walishinikizwa waseme uongo na RA, je,una uhakika gani anayoongea HP hashinikizwi na kundi Fulani ambalo limewekwa pembeni Ili kuleta taharuki Kwa jamii na kudhoofisha ustawi wa uongozi uliopo?
 
chiembe muogope Mwenyezi Mungu, JPM alianza kuugua baada ya ziara ya Morogoro, kile kizunguzungu kuwekewa catheter ya dawa za masaa etc ni baada ya ziara ya morogoro chato alikuwa na afya yake timilifu. Aendelee kupumzika kwa amani shujaa wa Tz
Sumu huwekwa kwenye kitasa cha mlango wa chooni au kwenye choo au kupulizwa ni sumu ilitumika kumuua Huge chaverz hapa America kusini, aliyeileta huko Tanzania ni Rostam Aziz
 
Back
Top Bottom