Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa usema uongo hadharani.
Wasingemsaidia basi kufa wangemuacha afe mwenyewe
 
too many stories; bahati mbaya wanaojiita sensible persons wengi hapa kwetu sio sensible; hawawezi kuhoji wanavyovipenda au wanavypenda kuvisikia... too bad. Mtu eeasonable hawezi kuamini ujinga huu, it is as if the presidents never die...tunataka kufanya kifo ni cha kundi fulani tu... Mwamba aliondoka, alitimiza wajibu wake na tumuache aendelee kupumzika..
It's either you're a fool or you're just pretending not to understand, maelezo ya Polepole ambaye alikuwa mtu wa jikoni kabisa for that matter hauwezi kuyakataa bila kuweka facts ili watu wa-balance who is saying the truth and who is lying.
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Umekalia sindano
 
Aliyekuwa daktari wake ni huyuhuyu wa ntandao?
 
Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
jibu mada yangu we kinyeo msaulifu
 
It's either you're a fool or you're just pretending not to understand, maelezo ya Polepole ambaye alikuwa mtu wa jikoni kabisa for that matter hauwezi kuyakataa bila kuweka facts ili watu wa-balance who is saying the truth and who is lying.
Jikoni wapi wakati Mkuu wa Majeshi alitaja orodha ya watu wachache waliokuwa wanapata info. Huyo ngombe hata jina lake halijulikani. Full hearsay
 
JPM tangu anatoka Chato alikuwa ameshafahamu tatizo lake ni gumu. Even stand ya Magufuli mbezi ilifunguliwa harakaharaka kabla haijakamilika ili walau jina lake lisomeke hapo. Stendi ilikuwa haijaisha.
Unazungumzia baada ya kupewa sumu au kabla hajapewa sumu?
 
Jikoni wapi wakati Mkuu wa Majeshi alitaja orodha ya watu wachache waliokuwa wanapata info. Huyo ngombe hata jina lake halijulikani. Full hearsay
chiembe ujanijibu ile mada uliyotoa JF ikafutwa ya kwako kuhusu mdude
 
Jikoni wapi wakati Mkuu wa Majeshi alitaja orodha ya watu wachache waliokuwa wanapata info. Huyo ngombe hata jina lake halijulikani. Full hearsay
Whilst you have more facts than him, hilarious.
 
Polepole anafanya vyema sana kuweka wazi haya mambo. Mungu amuweke sana. Leo kila kona views walikua wa kuzidi
 
Back
Top Bottom