Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Na bado, mtazungukana sana wahuni hadi wa mwisho atatoa siri zote.

No reforms no election.

Free Lissu.
 
It's either you're a fool or you're just pretending not to understand, maelezo ya Polepole ambaye alikuwa mtu wa jikoni kabisa for that matter hauwezi kuyakataa bila kuweka facts ili watu wa-balance who is saying the truth and who is lying.
Unaona sasa; I might be a fool lakini angalau ninaweza kujihoji na kuhoji... polepole kuwa mtu wa jikoni haimpi ownership ya ukweli, what if kama anataka kutumia jambo hilo kisiasa? Alijua yote hayo kama ni ya kweli lakini aliweza kuteuliwa ubalozi na akakubali, na hata barua yake ya kujiuzulu haikutaja habari ya kifo cha JPM - it doesnt make any sense.. it is only fools watakaodanganyika kirahisi hivi. Presidents wanaweza kufa pia - tusiishi as if presidents never die....
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Mkuu,

Mimi wewe sikubaliani nawe kwenye mengi, lakini katika hizi habari za Magufuli kauawa inabidi tuhoji sana.

Magufuli anajulikana ana matatizo ya moyo miaka mingi sana. Kuna mpaka magazeti ya alivyokuwa Chuo Kikuu Dar es salaam wanafunzi walimchangia aende Uingereza kusoma na kupata matibabu ya moyo. Ikajulikana kuwa amewekewa kifaa cha kuusaidia moyo wake.

Pia Magufuli alikuwa hataki habari za chanjo wala barakoa.

Tayari huyu mtu alikuwa ana risk factor ya moyo, halafu hataki chanjo wala barakoa.

Watu wake wa karibu wakaanza kufariki sana kina Kijazi na wengine.

Sasa huyu mtu angepata ugonjwa uliokuwa unaenea tu akafariki kwa ugonjwa na hususan kwa sababu alikuwa na risk factor kubwa, kuna cha ajabu kipi hapo?

Kwa nini tunataka sana kuweka conspiracy theory Magufuli kauawa wakati alikuwa ana risk factor na hakupenda chanjo wala barakoa?

Kuna makosa serikali imefanya kutofanya post mortem ya wazi na ku release matokeo, na hii inasababisha stories zote ziwezekane kuenea.

Lakini je, tunajihakikishiaje Magufuli hajafa kwa ugonjwa tu kwa ukaidi wake na risk factor yake?
 
Mdude ni nani? Ni ngumu kujua kila kibaka hapa Dar
chiembe ujanijibu ile mada uliyotoa JF ikafutwa ya kwako kuhusu mdude.UNaona uvyozidi kurefufasha uzazi wamama yako mzazi kwa ujinga wako.jibu
 
Uko period?
 
Uko period?
Unatamani kujibu ila unaogopa ukikosea wahuni wa CCm aliyetumwa kukushugulikia
IMG_2373.jpeg
 
Unaona sasa; I might be a fool lakini angalau ninaweza kujihoji na kuhoji... polepole kuwa mtu wa jikoni haimpi ownership ya ukweli, what if kama anataka kutumia jambo hilo kisiasa? Alijua yote hayo kama ni ya kweli lakini aliweza kuteuliwa ubalozi na akakubali, na hata barua yake ya kujiuzulu haikutaja habari ya kifo cha JPM - it doesnt make any sense.. it is only fools watakaodanganyika kirahisi hivi. Presidents wanaweza kufa pia - tusiishi as if presidents never die....
Presidents die, nimeishi kwenye nchi ambapo nimeshuhudia viongozi wakuu wa nchi wakifariki lakini haimaanishi kuwa president hawezi kuuawa.
Sijawahi kumpenda Jiwe wala Polepole lakini kuna vitu if you can read between the lines mambo yako dhahiri shahiri.
 
Wewe Chiembe ni bora ukanyamaza tu. Unaonekana bado ni mtoto mchanga kwa Polepole, kwenye mambo ya ndani ya chama na serikali.
Haoni mwenzake Lucas kakaa pembeni? Hawa machawa wananuka mavi
 
Mkuu,

Mimi wewe sikubaliani nawe kwenye mengi, lakini katika hizi habari za Magufuli kauawa inabidi tuhoji sana.

Magufuli anajulikana ana matatizo ya moyo miaka mingi sana. Kuna mpaka magazeti ya alivyokuwa Chuo Kikuu Dar es salaam wanafunzi walimchangia aende Uingereza kusoma na kupata matiba u ya moyo. Ikajulikana kiwa amewekewa kifaa cha kuusaidia moyo wake.

Pia Magufuki alikuwa hataki habari za chanjo wala barakoa.

Tayari huyu mtu alikuwa ana risk factor ya moyo, halafu hataki chanjo wala barakoa.

Watu wake wa karibu wakaanza kufariki sana kina Kijazi na wengine.

Sasa huyu mtu angepata ugonjwa uliokuwa unaenea tu akafariki kwa ugonjwa na hususan kwa sababu alikuwa na risk factor kubwa, kuna cha ajabu kipi hapo?

Kwa nini tunataka sana kuweka conspiracy theory Magufuli kauawa wakati alikuwa ana risk factor na hakupenda chanjo wala barakoa?

Kuna makosa serikali imefanya kutofanya post mortem ya wazi na ku release matokeo, na hii inasababisha stories zote ziwezekane kuenea.

Lakini je, tunajihakikishiaje Magufuli hajafa kwa ugonjwa tu kwa ukaidi wake na risk factor yake?
Kiranga katika ubora wako. Big up legends 👏
 
Sensible argument lakini je tutajihakikishiaje kuwa Magufuli hajauawa na kina Rostam? So the probable chances are 50/50.
Fair enough.
 
Presidents die, nimeishi kwenye nchi ambapo nimeshuhudia viongozi wakuu wa nchi wakifariki lakini haimaanishi kuwa president hawezi kuuawa.
Sijawahi kumpenda Jiwe wala Polepole lakini kuna vitu if you can read between the lines mambo yako dhahiri shahiri.
JPM alikuwa na historia ya kuumwa, baada ya kifo chake minon'gono ilikuwa hiyo na polepole ameamua kupita nayo kwa kuwa alikuwa anapoteza relevancy; story yake ya RA kuhusu makaa ya mawe haikuuza sana, na jambo pekee unaloweza kuwagusa watanzania wengi ni kuhusu stori ya kifo cha JPM na kwa upinzani ni story ya TAL kuachiwa...anajaribu kupita na hizi... the fact ni kuwa JPM aliondoka kwa natural death tu, ungetegemea mtu mwenye kifaa kwenye moyo aishi maisha marefu hivyooo? Na kama ingekuwa ni simu asingepelekwa Kwenye taasisi ya moyo.... what HP is saying doesnt make any sense, ila kwa kuwa watanzania wanapenda umbeya na never queations what they like; hawatajiuliza wala kuuliza..
 
chiembe muogope Mwenyezi Mungu, JPM alianza kuugua baada ya ziara ya Morogoro, kile kizunguzungu kuwekewa catheter ya dawa za masaa etc ni baada ya ziara ya morogoro chato alikuwa na afya yake timilifu. Aendelee kupumzika kwa amani shujaa wa Tz
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Wana Jamvi

chiembe amethibitisha pasipo kushurutishwa ni kwa jinsi gani afya ya JPM walianza kuisababisha idorore na yeye akiwa shuhuda wa uwepo wake eneo la tukio kwa hiyo kinachosemwa na HP ni sawa kumbe walianzia huko Chato miongoni mwa wasaidizi wake ndio waliotumika akiwemo Chiembe.

Baada ya yeye kujitaja kuanzia leo msakeni ili awaeleze kinagaubaga anafikiri hii ngoma ni utani atajuta mwsiho wa siku aombe poo

1756496457023.png
 
JPM alikuwa na historia ya kuumwa, baada ya kifo chake minon'gono ilikuwa hiyo na polepole ameamua kupita nayo kwa kuwa alikuwa anapoteza relevancy; story yake ya RA kuhusu makaa ya mawe haikuuza sana, na jambo pekee unaloweza kuwagusa watanzania wengi ni kuhusu stori ya kifo cha JPM na kwa upinzani ni story ya TAL kuachiwa...anajaribu kupita na hizi... the fact ni kuwa JPM aliondoka kwa natural death tu, ungetegemea mtu mwenye kifaa kwenye moyo aishi maisha marefu hivyooo? Na kama ingekuwa ni simu asingepelekwa Kwenye taasisi ya moyo.... what HP is saying doesnt make any sense, ila kwa kuwa watanzania wanapenda umbeya na never queations what they like; hawatajiuliza wala kuuliza..
So your water tight argument Polepole kaamua kupitana hiyo topic ya kuuawa kwa kuona anapoteza relevance? Mtu anayeishi spana mkononi hawezi kuuawa au akiuwa ni sawa kwa kuwa yuko kwenye edge anyway?
Mpaka pale mtu atakapompinga Polepole kwa facts kuwa Jiwe alikufa natural death nitaendelea kuamini kuwa timu ya kina JK, Rostam, Samia na wenzao walimuua Magu kwa kuwa ndiyo wanufaika wakubwa wa kifo chake.
 
Back
Top Bottom